Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Nikuku machotara light sussex wanavumilia magonjwa na hutaga mayai mengi sana jogoo wake ni wakubwa sana hata mitetea yake huanza kutaga wakiwa na miezi minne na nusu tu karibu pia pata bata...
2 Reactions
105 Replies
26K Views
Nimechaguliwa kujiunga na chuo kikuu cha CUHAS (BUGANDO) kusoma DOCTOR OF MEDICINE! nyumbani hali ngumu nimefanikiwa kupata msaada kutokta kwa watu mbali mbali kulipa michango na nimebakiwa na sh...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mjasiriamali mwenzangu,yakupasa kufanya biashara kwa manufaa ya leo na kesho! Anza kidogo upate uzoefu kisha ongeza wigo wa mtaji ili kuweza kutumia maliasiri zilizopo kwa ufasaha zaidi kwani...
2 Reactions
8 Replies
4K Views
Leo nilikuwa kwenye Viwanja vya 7 7 kwenye maonyesho ya Bidhaa za INDIA maKAMPUNI mengi mapya yamekuja kwa mara ya kwanza kutambulisha Product hata Ofisi hawana Inaonekana hapa kwetu kuna SOKO...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini wana jamvi kwa anayejua ni benki ipi inayotoa mkopo kwa riba nafuu. Kwa anayefahamu please mnisaidie mi nimuajiriwa gvt
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau hodi kwenye jukwaa..baada ya kutembelea jamiiforum kama guest kwa miaka miwili mfululizo,hatimae jana 15/09/2013 niliamua kujiunga rasmi na mtandao huu,ambao umejaa vichwa vyenye mawazo...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Wadau wa jm.forum naomba msaada kujua ni kampuni ipi yenye bei poa katika 1. domain registration bei gani?? 2. kuhost web site bei gani ?? Ntashukulu sana any help I will get kuna uwezekano...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimekuja na tamaa ya uchimbaji madini,naomba kuelimishwa utaratibu ukoje katika masharti, vibaya na hata leseni inagharimu kiasi gani?gharama anategemea ukubwa wa kitalu ?natanguliza shukrani.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kijana mwenzenu nimepewa hela na kaka yangu kama mtaji wa kuanzia biashara yeyote. Nina digree ya uhasibu. Akili yamgu yote nilikua nimeweka kwenye kuajiliwa tu.Nimetafuta kazi weeee...nimechoka...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
habari zenu wana jf, naombeni ushauri wenu juu ya sehemu nzuri inayofaa nataka nifungue play station, watoto hata vijana waje wacheze game, nipo dar es salaam, hata kama kuna anaye pangisha frem...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wana jf.mm ninaishi morogoro nina fedha tasilimu milio tatu tu naomba msaada wa ushauri wa biashara madhubuti ambayo inanweza kuifanya ila pia nipo tayari hata kwa tanga kuhamia kama kwa...
0 Reactions
50 Replies
11K Views
ndugu nina mtaji wa 5 million naomba ushauri wenu biashara gani naweza kufanya ikalipa? niko kibaha pia nafikiria kusafirisha viazi mviringo toka mbeya au vitunguu kutoka ruaha mbuyuni hadi dar...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu, Naomba kwa anejua links muhimu zinazotoa elimu ya ujasiliamali aziweke hapa. Naamanisha Vitabu,blogs,websites,etc Naamini tutazidi kuelimika kupitia link hizo Karibuni Wadau!
0 Reactions
5 Replies
3K Views
wadau wa ujasiriamali poleni kwa majukumu ya kujenga uchumi wenu na taifa bila kusahau mafisadi. Nimechukua hatua ya kuandika uzi huu baada ya kuona jambo hili linajirudia mara kwa mara na watu...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Pata bata bukini wakubwa kwadogo sasa wanapatikana bata ambao niwasafi nabata mzinga pia wanapatikana karibu 0757662401
0 Reactions
31 Replies
9K Views
Mi ni mfanyakazi wa serikali na nina miaka miwili sasa na ninapokea net 250000 ninahitaji sana mkopo wa kiasi tajwa hapo ili niweze malizia ujenzi wa nyumba yangu niliouanza miaka mitatu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wana jf, Natafuta wateja wa chokaa, kama kuna mtu anahitaji tuwasiliane, ipo nyingi sana ni wewe tu na mahitaji yako.
0 Reactions
1 Replies
871 Views
kwa sasa nipo field mbeya nasoma tanga chuo kkuu cha eckernforde! nina kiprot kama heka 1 je naweza enda bank na kukopa ili nifungue biashara? hati milik nnayo
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wana JF nahtaj kufungua biashara ya kuuza viatu(simple), kama converse, snika na vyovyote ambavyo vipo simple zaid na quality(grade 1) vya mtumba. hvyo anaeuza kwa bei ya jumla au anamjua mtu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu sjajua kwa huku kwetu ila Kwa wenzetu eggs shell ni dill sana na huwa hazitupwi kamwe, ni biashara kama ziivyo biashara nyingine. Nimeona kwene nchi kama Kenya wao eggs shell hukusanywa na...
4 Reactions
22 Replies
4K Views
Back
Top Bottom