Habari zenu wana jf
Nimeona deal somewhere ambalo naweza pata cash ya kusukuma life natafuta packaging containers kuanzia mifuko,chupa ,mabox na kadhalika
nataka niwe dealer wa mambo hayo je wapi...
Naombeni ushauri juu ya pump gani nzuri yenye ubora ya kuvuta/kunyonya maji mtooni kwa ajili ya kumwagilia shambani.Size iwe inch 3
Naombeni pia mnijuze ni ipi bora kati ya ile inayo tumia disel...
Habari wadau
Ninatoa huduma za UCHAPISHAJI (PRINTING) wa documents mbalimbali kama vile:-
INVOICE BOOK, PROFORMA BOOK, RECEIPT, CASH SALE BOOKS, ANNUAL REPORT,
MAGAZINES, BANNERS, STICKERS...
Habari zenu wandugu,
Kwanza nashukuru kwa kunipa hamasa ya kuingia kwenye kilimo.
Inshallah mambo yakienda vizuri nategemea kuwa na mahindi kama gunia 800 au zaidi mwezi wa saba mwaka huu hapo...
Jamani maisha magumu na kamshahara kangu nahangaika tu mtaani.
Naombeeni ushauri ni namna gani nifungue biashara ya kujikimu ili niachane na maisha ya kutegemea mshahara wadau
Heshima kwenu wadau .
Mimi nilisoma hapa kuhusu ufugaji wa kuku wa kienyeji mwezi March.nikanunua maji 10 jogoo 1 .wakafa 3 .
sasa hivi tunavyoongea kuku wapo vyema na nina mayai zaidi ya 20...
Kama unaitaji kujiajiri katika nyanja za mambo ya designing na printing unaweza kunitafuta kwa namba 0718 572 422 au 0754 570 510 ninatoa mafunzo kwa program za adobe photo shop, adobe indesign na...
Jamani kutokana na vuguvugu la katiba mpya na muundo wa muungano kuna fursa zimejitokeza anayeweza achangamkie fasta.
Iko ivi tengeneza bendera za Tanganyika za ukubwa tofauti. Print t-shirt...
Nataka nilime vitunguu. Na kwa uchunguzi mdogo nilioufanya nimegundua ili upate mbegu halisi ni vyema ukanunua kwa wakala wa mbegu.sasa nitamjuaje kama huyu ni wakala halisi? Kwa anayemfahamu kwa...
Wakuu poleni na majukumu.
Kwa mwenye uelewa wa hii biashara ya kuuza magodoro anipe mwongozo.
Mtaji angalau kiasi gani cha kuanzia?
Faida yake ikoje?
Changamoto zake vp?
Viuzwavyo pamoja na...
Nimechukua fursa ya kufuga Kwale(quails),ndege Wa kipekee,adimu, na mwenye faida kibao kwa binadamu.Kwa miaka mingi amekuwa maarufu barani Asia,Ulaya,na jirani zetu wa Kenya katika kufugwa na...
Heshima kwenu.
natumia simu hivyo nitaandika kifupi.
_kumbe kuku wa kienyeji anaweza kutamia mara saba kwa mbinu ya akishatotolesha unamyanganya vifaranga na unavitunza kama wale wa broila then...
Wakuu napenda kujua ni wapi naweza pata hii barley naihitaji sana na ya kutosha, ingawa najaribu kucheki Karatu, Hanang na West kilimanjaro ambapo inalimwa. mwenye info pls