Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Je, unafahamu kuwa ukiwa na ng’ombe mmoja wa maziwa, unaweza kujipatia kati ya Tsh 600,000 - 900,000 kila mwezi? 🤯 Hii ni fursa halisi kwa wale wanaotaka kuwekeza kwenye kilimo na ufugaji wa...
6 Reactions
38 Replies
3K Views
Habari, Kati ya maeneo haya ni wapi kuna unafafu wa kununua ardhi (shamba) Mluo, mbozi, mbeya, tunduma na Makuyuni ni kwa lengo la shughuli za kilimo cha umwagiliaji au Highlands yenye vipindi...
2 Reactions
2 Replies
527 Views
♨️♨️ TREY ZA HYDROPONIC FODDER- TSH 5000 ♨️♨️ Hydroponic Fodders ni sayansi ya kuzalisha chakula lishe cha wanyama chenye wingi wa Protein, kutokana na nafaka kama Ngano, Mahindi, Uwele, Mtama...
1 Reactions
2 Replies
312 Views
Asalaam wadau wa kilimo! Naomba kujua ni dawa Gani ya kupuliza shambani ambayo inaweza kuwa mbadala wa kupalilia shamba ili kupunguza gharama za kusafisha shamba? Nimepanda miti msim huu wa...
3 Reactions
10 Replies
988 Views
"Kwanza nianze na wachungaji, Sadaka hazipo Madhabahuni. Mungu Amesema atabariki kazi ya mikono yako. Utajiri wote upo kwenye ardhi. Madini yanapatikana kwenye ardhi, mafuta yanapatikana kwenye...
2 Reactions
0 Replies
531 Views
Katika pita pita zangu mitandaoni nimeona wenzetu wazungu wameadvance sana. Especially wanaokaa kwenye maeneo makubwa, wanawekeza katika kujenga mabanda ya kuku yanayotembea (mobile chicken coop)...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
  • Poll Poll
Hivi kuku kama hawa wapo AU ni AI? Sasa fanya makadirio yako kupitia calculator iliyopo kwenye tovuti ya www.primaxtz.com
2 Reactions
18 Replies
1K Views
■ FAIDA YA KUTUMIA MAX PIG SUPER MEAT. -Nguruwe hukuwa haraka pasipo kudumaa na kuongeza uzalishaji wa nyamaa Tamu isiyo na mafuta mengi yenye hadhi ya kimataifa. -Nguruwe kuingia joto kwa wakati...
1 Reactions
1 Replies
410 Views
🐓S&Q_GROUP_INTERNATIONAL LIMITED🐓 AGIZA NASI VIFARANGA BORA KWA VIWANGO VYA KIMATAIFA 0781647066 ____________________________________________ 📠☎️ 0781647066 WAZALISHAJI WAUZAJI NA WASAMBAZAJI WA...
0 Reactions
2 Replies
599 Views
Habari wanajamii ninatoa huduma yakungoa visiki mashambani.Huduma hii naifanya kwakutumia kinafaa maalumu, ambapo kwa siku moja nauwezo wakungoa visiki 30 hadi 40. Visiki vikubwa @3,500 vidogo...
0 Reactions
3 Replies
465 Views
Habari wana JF, katika kujitafuta kimaisha nataka kuingia mbeya kununua nafaka kwa wauzaji wa jumla. Natamni kujua Faida ya hii biashara, Changamoto zake na pia Fursa zilizopo kwenye hii...
0 Reactions
4 Replies
689 Views
MBUNGE NDAISABA RUHORO AWASILISHA HOJA ZA MAAFISA UGANI BUNGENI Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro leo tarehe 09 Mei, 2025 bungeni jijini Dodoma amefikisha mahitaji ya maafisa...
0 Reactions
6 Replies
562 Views
■ FAIDA YA KUTUMIA MAX PIG SUPER MEAT. -Nguruwe hukuwa haraka pasipo kudumaa na kuongeza uzalishaji wa nyamaa Tamu isiyo na mafuta mengi yenye hadhi ya kimataifa. -Nguruwe kuingia joto kwa wakati...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Nahitaji mashine ya kupukuchua mahindi Kama wewe ni mtengenezaji au muuzaji wa mashine hizo weka picha,bei na sifa za mashine tufanye biashara ASANTE
0 Reactions
3 Replies
517 Views
India ndio mzalishaji mkuu wa Ashwagandha na ndio Exporter mkuu pia wa hii Dawa kwenda Ulaya na Marekani.Hata Bongo kuna kampuni zinazalisha dawa hii zina park na na hisi iko Dar hio kampuni...
7 Reactions
17 Replies
1K Views
Nimeshangazwa sana na kuona hizi video kwanza sio fake ni real zaidi ya yote nikashangaa tena kuona hata hapa bongo yameshafika. Je kiafya imekaaje haya mahindi? Wataalamu karibuni sana kuhusu...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Bata wanakosa nguvu na kukaa wanashindwa kula na within a short time wanakufa. tatizo ni nini na amtibabu yake ni dawa gani?
7 Reactions
33 Replies
1K Views
Habari wanajamii ninatoa huduma yakungoa visiki mashambani.Huduma hii naifanya kwakutumia kinafaa maalumu, ambapo kwa siku moja nauwezo wakungoa visiki 30 hadi 40. Visiki vikubwa @3,500 vidogo...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Hello Wafugaji wenzangu 👋🏽, Nimeona kuna watu wengi wanaanzisha ufugaji wa kuku, hasa kwa lengo la kupata mayai ya kutosha kwa matumizi au biashara, lakini ndani ya miezi michache wanakata...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Katika Orodha hio sijataja traditional fruits kama Ovacado na Mangoes kwa sababu hayo yanapatikana kwa wingi sana na hatu import kutoka nje ya nchi. Hayo nilio yataja tuna import kwa kaisi...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…