Example of Hypothesis title; Wanafunzi wanaosoma usiku wana faulu zaidi mitihani yao kuliko wanafunzi wanaosoma mchana, nitakuwa na (Null Hypothesis (Ho) (P<0.001, P<0.01,P<0.05)) na (Alternative...
Example of Hypothesis title; Wanafunzi wanaosoma usiku wana faulu zaidi mitihani yao kuliko wanafunzi wanaosoma mchana, nitakuwa na (Null Hypothesis (Ho) (P<0.001, P<0.01,P<0.05)) na (Alternative...
Naomba kujua bei ya vitunguu mikoani hususani Tanga, Same, Morogoro,Singida na kwingineko. Nataka ile bei ya mkulima sio ya mtu wa kati au mchuuzi/mlanguzi
Asanteni.
Habari zenu wakuu.
Natumai mnaendelea vyema na harakati
za kusukuma gurudumu la maisha.
Wakuu mimi nina pesa lakini sina
idea nzuri ya biashara na kuna watu
wengine humu jamiiforums
wana...
Habari za muda wana JF,Mimi ni mjasiriamali mdogo sana wa kuku wa kienyeji..Ila kwa sasa nategemea kukua kibiashara na kuanza kufuga kuku wa mayai na hivyo ninahitaji kujenga mabanda ya kuku wa...
Nashukuru kuwa ufugaji wa kware unaendelea kupata wapenzi wengi kutokana na faida kama chakula bora kwa ndege huyu ila kumekuwa na taarifa nyingi na hasa faida ya kifedha ambayo inaweza...
Unahitaji gauni la harusi..High classic na bei rahisi kabisa? Tunayo karibu sana. Tupo Arusha ila mikoani huduma yetu itakufikia. Page yetu ya Fb Emmanuel bridal shop, pia East Africa wedding...
Habari za Jumapili wanaJF. Kichwa cha habari hapo juu cha husika. Ningependa kufahamu juu ya kilimo cha hili tunda la tikiti maji hasa yale ambayo yapo kama kijani na mistari myeupe namaanisha...
Tuangalie mambo ya maendeleo sio kila siku tamthilia na movie hope mtajifunza kitu hasa kwa wazee wa fursa
ARAB QATARI COMPANY FOR POULTRY PRODUCTION - YouTube
Wadau,
Nahitaji kupata bamboo /mianzi
ambayo imekomaa na eidha
imekauka ama bado (ikiwa
haijavunwa pia). Naomba kwa
yeyote anayefahamu inapopatikana
ama kama ni mkulima anijuze.
Salaam jamaa wote.
Naomba mwenye kujua gharama za kuandaa chupa ya maji ya 1Lt toka usafishaji wake mpaka packing ikiwa na lebo na vibali vyote husika.
Natanguliza shukrani zangu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.