Mimi ni mtanzania nilieamuwa kujikita kwenye shughuli za maharusi. Tuna wedding dresses wapendwaa..High quality.good price.
Nitafuteee for more information. Tupo fb kwa jina la East Africa wedding...
Dear Friend, Deogratius Kilawe here, following up about our next High Performance Leadership conference this June here in Dar Es Salaam, Tanzania and Lagos, Nigeria. I wanted to check-in and...
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Wanawake wengi haswaa wa mjini, tena tunaofanya kazi , na kupenda kwenda na wakati kimjini mjini mishahara yetu...
KILIMO CHA MBOGA MBOGA
SOMO LA KWANZA:
KILIMO BORA CHA ZAO LA NYANYA.
I. MUHTASARI.
Nyanya ni mojawapo ya mazao makuu ya kilimo cha mbogamboga ulimwenguni na hushika nafasi ya 2 baada ya...
Wana JF,
Kwa mara nyingine naomba mnijuze soko la Komamanga na Njugu. Mimi ni mkulima kwa sassa nina njugu za kutosha lakini pia natarajia kuwa na kilimo kikubwa cha Komamanga mwakani...
Nimeipata hii kitu kumuhusu huyu founder wa facebook Marck Zuckerberg jinsi alivyoanza facebook na mpaka kuja kuwa multi-billionaire. Fungua hii link na ujisomee mwenyewe. inaweza badili fikra...
Contacts:
+255 785 365285
A Home Business Where Real People Make Real Money
Ever thought of the simplest and the most definite way to achieve FINANCIAL SUCCESS?
If your answer is NO, then you...
Dears wajasiliamali naomba kuuliza kuna mtu humu analima kilimo cha greenhouse...faida zake...hasara je?
Please n please naomba kueleweshwa vizuriii kabisa na gharama zake za kufunga na kila...
Wadau,
Nahitaji kupata bamboo /mianzi ambayo imekomaa na eidha imekauka ama bado (ikiwa haijavunwa pia). Naomba kwa yeyote anayefahamu inapopatikana ama kama ni mkulima anijuze.
Wapendwa wangu mimi ni mjasiriamali,natengeneza mashati ya vitenge, bazee, na batic. Kiu yangu kubwa ni kuhakikisha vazi hili la Africa linatamba.
Naomba ushauri wenu. Nataka niwe najumlisha...
Kulingana na kichwa hapo juu.Kwa kifupi nina shamba lenye ukubwa wa ekari sita, shamba hilo limezungukwa na maji ya mto usiokauka kwa vipindi vyote vya mwaka. Eneo hilo hulimwa mbogamboga au...
Habari zenu!
Jamani mimi nina business idea, ambayo tayari nina kila kitu upande wa paperworks na marketing strategies, kwa maana kwamba nina uhakika kampuni itasimama. Shida ni kwamba sina...
Wadau Heshima kwenu,
Nina kisima chenye urefu wa ft 56 na kina maji mengi tu ya kutosha kwa matumizi yangu na hata kuwa na ziada.Kisima kimechimbwa mwaka 1999 mwishoni (November). Tangu...