Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Jamani Mimi Nimehitimu Chuo Cha Kilimo, Lakini Kutokana Na Ukosefu Wa Ajira Nataka Kutumia Ujuzi Nilio Nao Wa Kutengeneza Incubator Ktk Kujimudu Kimaisha, Lakini Tatizo Sina Mtaji Hata Wa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wanajamvi wenzangu ningependa kufahamu dawa za kuku wa kienyeji za miti shamba zinazokinga na kutibu magonjwa yafuatayo na namna ya kuziandaa. 1. Mdondo 2. Kuharisha(kinyesi cha kijani) 3...
0 Reactions
3 Replies
32K Views
Kuna kipindi hili jukwaa lilikua limejaa habari ya Kware na mayai ya kware.Watu walikua wako moto kuingia kwenye hii biashara wakiamini ni fursa yakuwatoa kwenye umasikini. Binafsi tokea hii kitu...
4 Reactions
21 Replies
5K Views
wanajamii habari zenu, Ninafuga kuku, tatizo limejitokeza tangu Jumamosi, kuna kuku 1 anachechemea, nimejaribu kumchunguza labda anakidonda au kapigwa but hakuna, kuku ana umri wa miezi 6 wenzake...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wasalam wanajamii .ninaufuta tani50 .natafuta soko. Namba yangu 0712155462,asanten sana
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Kwa yeyote mwenye ujuzi wa bei ya mashine. Naomba anijuze Tafadhali
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wakuu hbr za kazi??,Anayejua lilipo soko la Nyanya kwa bei nzuri,ani-pm.Mimi ndio ninaziuza.
0 Reactions
12 Replies
5K Views
inahusu elimu ya kompyuta...nimefikiria kwamba kila mtu kwa sasa anahitaji kujua matumizi ya kompyuta kulingana na uitaji wa dunia ya leo, but kwa sababu fulani fulani sio wote ambao wanaweza...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nina asali mbichi kutoka kutoka mpanda na nyingine ya hapa Tabora natafuta nina dumu za Lita 20 kama 50+ Mwenye kujua soko aniambie
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za Leo wadau, Naomba kujua kama kuna mabadiliko ya price kwenye vyakula vya kuku " MASH" katika mabadiliko yanayoletwa na budget mpya inayoanza Leo.Naongea haya kutokana na omission ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nipo Dar, nahitaji mbegu kwa ajili ya kufuga samaki, natafuta mbegu ya samaki na kambale, nitawapata wapi na ni bei gani?? Nisaidieni wadau
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Habari za majukumu, niko na hiyo pesa ningependa mawazo yenu ya biashara ipi hususa ya uchuuzi- yaani kutoa bidhaa point A kwenda kuuza point B kwa faida Siko interested sana na Kilimo wala...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Nimebakhtisha compressor,machine za kuchomelea (Gas/Umeme) na za rangi. Pia spanner za ku unga unga nimeokoteza.Pia kuna mbao za kutengeneza bench. Kijiwe tufungue pande zipi? Karibuni wadahu.
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Wadau nataka kuanzisha biashara ya mkaa hapa dar, jumla na rejareja. naombwa kujuzwa sehemu naweza upata kwa jumla kwa bei nafuu hapa dar au msaada wa mawazo kwa aliyejaribu . au eneo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
SHADENET GREENHOUSE: NJIA SAHIHI KATIKA MAFANIKIO YA KILIMO CHA MBOGAMBOGA NA MATUNDA •Ni shamba lililozungushiwa uzio wa net juu na pembeni. •Ni jengo maalum ambalo ndani yake ni mahususi kwa...
0 Reactions
5 Replies
9K Views
Habari wana jf Mimi no mjasiriamali ninaemiliki ka daladala kamoja hapa jijini. Katika harakati zangu za kuongeza mtaji nilipata kipeperushi cha hiyo kampuni tajwa hapo juu kwamba wanatoa mikopo...
0 Reactions
0 Replies
980 Views
Habari za Leo wadau na wajasiriamali wenzangu, Nauza mayai ya kisasa,tray TZS 6500.Kwa yeyote anayetaka tunaweza kuongea na kukubaliana bei nzuri zaidi,Nina uwezo wa kukupa au kukuletea ulipo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu wanajamvi, Natumaini wazima wa afya nategemea kulima mboga mboga Bagamoyo na kusambaza mjini Dar mwenye uzoefu wa kilimo hiki na changamoto. Naomba msaada aiseeh!
0 Reactions
25 Replies
9K Views
Wadau katika pita pita zangu nimekuwa nikisikia juu ya ongezeko la kodi kwenye maeneo mbalimbali ya uchumi. Aidha watu wengi wamekuwa wakilalamika juu ya ongezeko la kodi kwenye vinywaji vya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…