Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

App inapatikana google play store kwa jina la Ufugaji au ipakue kupitia kiunganishi hiki https://play.google.com/store/apps/details?id=ifugaji.app.tanzania.kilimo Au nenda moja kwa moja kwenye...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Pili pili mbuzi Pili pili hoho Pili pili za aina zote
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tujiandae kupanda kwa bei ya mahindi..mavuno mwaka huu yamesuasua. Zambia production zimeshuka by 34 %. Tanzania bado sijaona taarifa zao. Mahindi sasa yapo mikononi kwa wafanya...
1 Reactions
20 Replies
6K Views
Nitoe short story tu katika muendelezo wa kuelimisha jamii juu ya kilimo hai(organic farming). Mimi Kwangu nimepanda mboga mboga katika mifuko hivyo mara nyingi huwa sinunui mboga sokoni, sasa...
4 Reactions
35 Replies
6K Views
Kuna hawa wanajiita MKIKITA naona nao wana project kama za Namaingo we unatoa fees wanakuchukulia mkopo wanakulimia wanakata gharama za ulimaji na mkopo we eti unapewa faida tu. Nikitazama naona...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Horticultural Farming for Improved Production Economy (HoFIPE) is a project that desires to address youth employment through the agricultural sector in Tanzania. The project intends to involve...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimenunua epson printer L800 na hapa mjini studio zinasafisha picha kwa tsh 200 picha ya size 4 kwa 6, je mimi nikisafisha kwa 200 nitapata faida? Msaada wadau
0 Reactions
27 Replies
11K Views
Wana jf Habari za majukumu,niko Serengeti mkoa wa Mara na jishughulisha na kilimo ila kwa sasa nahitaji kufanya kisasa kidogo nahitaji kujenga green house ya mita 15 kwa 25 kwa ajiri ya nyanya au...
3 Reactions
5 Replies
4K Views
Kwa wastani hatua ya mtu mzima ina urefu wa futi 2.5. sawa na 75cm au 0.75m. Sasa ukipimiwa upana wa hatua 70 na urefu wa hatua 70 utakuwa na eneo lenye urefu wa 70x0.75 = 52.5m. Upana pia utakuwa...
8 Reactions
40 Replies
27K Views
Naitwa benjamin l. Mbilo Nimtaalamu wa masuara ya kilimo na mifugo(general in agriculture) kwasasa nnapatikana iringa mji mdogo wa ilula. Kwasasa najishuhurisha na utoaji elimu na ushauli juu ya...
3 Reactions
2 Replies
2K Views
Nina wazo la kuilima vitunguu maji, nipo kanda ya ziwa (ng'wanza), nina wazo la kulima vitunguu maeneo ya Magu karibu na mto simiyu, changamoto ninayoiona ni usitawi wa zoa hili katika eneo hili...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu nataka kujiingiza kwenye kilimo maeneo ya Kibiti. Kuna mwenye mawasiliano ya bwana shamba wilaya ya KIBITI ili niweze kupata ushauri kwake juu ya mazao ya kulima, aina za mbegu na muda wa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habar wanajamvini.....kwa miaka kadhaa wakulima wa zao la mahindi hasa mikoa ya nynda za juu ksini na magharib tumekua wazalishaaji wakuu wa zao hili kwa muda sasa ni zao pengine naweza sema...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Usemihuwo una mantiki sana, japo vijana tunajipotezea tujiulize ni kwanini? Wakoloni walikuja kulima mazao mbalimbali,walichukia ardhi yenye rutuba, wakaanzisha propaganda chafu tuchukie kilimo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Dawa za kusafishia, kungarisha na kupendezesha vioo MAHITAJI -sabuni ya maji -vinegar maji JINSI YA KUTENGENEZA Tia maji lita 10 kwenye plastic,sabuni ya maji lita 1,vinegar lita 1 kisha koroga...
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Tar 12/10/2018 mmoja kati ya viongozi wa benki ya maendeleo ya kilimo (Tanzania Agricultural Development Bank) alikuja kuongea na wanachama cha ushirika Madibira. Ushirika unawanachama 3147 ambao...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakulima tunazama kwenye dimbwi la umasikini. - JamiiForums Wakulima tunazama kwenye dimbwi la umasikini.
0 Reactions
0 Replies
884 Views
Nimelima matikiti maji kwa mara ya pili sasa, changamoto yangu juu ya utiaji wa mbolea ya viwandani katika miche. mana inakufa sana nikishatia mbolea. Natumia kizibo cha take away kama kipimio...
0 Reactions
13 Replies
8K Views
Walio wengi hawajui ni kuchi gani anafaa kufuga kwa wakati uliopo. Karibu tujifunze kuchi
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naomba kujuzwa na wataalamu wa mifugo huu ni ugojwa gani?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…