Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Habari wadau humu ndani. Nina shamba lenye ukubwa wa eka 30 Wilaya ya Mkuranga ndani ndani huko. Mipango yangu ni kupanda mazao ya kudumu eka 20 kati ya hizo 30 msimu wa masika yajayo. Naomba...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna video ina trend, twitter inamuonesha ofisa mmoja wa serikali akiwa na waandishi wa habari kwenye ofisi ya kampuni inayomilikiwa na mama wa kizungu mmoja wakijibizana kwa madai kuwa kampuni...
5 Reactions
17 Replies
3K Views
Wadau, naomba msaada wa kupata elimu zaidi juu ya utengenezaji wa funza kama chakula cha kuku. na pia naomba kufahamu kama hawa funza kwa hapa Tanzania wanauzwa, basi naomba kufahamu ni wapi...
0 Reactions
7 Replies
10K Views
Wakuu hili swala la Kujitengenezea mwenyewe Chakula Cha Kuku si swala la Kitoto hata Kidogo, Ni kazi Moja ngumu kabisa, kuliko hata Kufuga kwenyewe, na that is why watu wengi wanaona ni Bora...
2 Reactions
28 Replies
25K Views
Naitwa goya mnanda ni mkulima wa mpunga nafanya shughul zangu mkoa wa morogoro kilombelo ni mkukima wa kat katika shughul zangu kule shamba nakutana na changamoto mbalimbali aswa matumiz ya dawa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
naomba ushauri kwa anaejua kuhusu mafuta ya ubuyu nitumie kilo ngapi za mbegu il nipate lita moja ya mafuta ya ubuyu naomba msaada tafadhali
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu habari.. Natumaini mu wazima Lengo la uzi wangu ni kutaka kujua kiundani kuhusu kilimo cha karangaa.... 1.Mkoa mzuri unaofaa kwa kilimo hicho 2.mahitaji kwa ajili ya kilimo 3.Total cost...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Nawasilisha wanaJf ..kwa yeyote anayejua soko la watu wanaonunua ufuta au nnaweza kupata vipi wanunuzi tafadhali naomb niambiw.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zamchana wana bodi, samahani wakuu kwa wale wataalam wa ufugaji wa kuku nahitaji msaada wenu. Nimeanza kufuga sasa nina mwezi wa tatu. Nafuga kuku chotara wa mayai, nimekumbana na hiki...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Habar ndugu Zangu natumaini mnaendelea vizur na poleni na majukumu ya siku nzima ningependa kujua soko la muhogo mkavu ninazo kama Tani 15 na bei yake kwa kilo tafadhari asanteni sana
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau nimekutana na makampuni wnahamisaisha watu kulima pilipili kichaa zinaitwa African bird eye. Wanasema ekari moja unaweza kuzalisha 160 Kgs/kavu/ wiki ambayo ni sawa na 640 kgs kavu kwa eka...
2 Reactions
7 Replies
5K Views
Habari wanajamvi wenzangu, naleta Uzi huu , ili kuweza kupata ushauri ama kama kuna MTU tunaweza kujoin tukafanya biashara ya kilimo, tukalima kilimo cha muda mfupi mm Nina milioni 1 wakuu...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Naomba mnijuzee wapi kuna mvua ya kutosha na ardhi nzuri yenye rutuba hususani kwa kilimo cha alizetii pia bei za mashamba na gharama nyingine katika hio mikoa Pia upatikanaji na gharama za...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
NINA TREKTA MBEGU BORA ZA MAHINDI NA ALIZETI KANIUNGANISHA NA WANUNUZI WA UHAKIKA NITAKAPOVUNA MAZAO KANIPA NA 8 MILLION KWA KUANZIA SWALI LANGU NI MOJA,MKOA GANI NAWEZA ANZA KILIMO?
3 Reactions
38 Replies
9K Views
Tajwa hapo juu ni Aina ya tunda ila lina majina mengi mno. Kwa kiswahili sijui. Haya matunda yapo ya Wildau ya Msituni au ya Kienyejina piayapo Chotara. Nchi ya Kolombia ndo mzalishaji mkuu wa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa wale wanaojua kuvundika ndizi na zikaiva vizuri Naomba msada Jinsi ya kufanya
1 Reactions
8 Replies
8K Views
Jaman wadau mm ni kijana nimeamua kujiajiri ktk biashara ya kuuza mafuta ya ubuyu na asali, kwa yeyote anayejua soko la hii kitu lilipo msaada tafadhari! Hali ya ajira na maisha ni ngumu jamani...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Ndugu nahitaji mashine Ya kutengeneza chostick nianze Kazi Rasmi, anaejua mahal zinapopatikana anijuze
0 Reactions
5 Replies
10K Views
Habari za wakati huu ndugu, nipo apa kwaajili ya kuomba kazi yeyote inayohusiana na masuala ya Kilimo na mifugo, napatikana Arusha.niko tayari kufanya ata kwakujitolea ili nisipoteze elimu yangu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakubwa., Ninahitaji kujua kuhusu incubator, efficiency yake katika utotoaji na aina zake kwa wafugaji wadogo dogo . Incubator za mayai kuanzia 48 - 200 and above. Kwa wale ambao wanazo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…