Naomba mchanganuo kuhusu kilimo cha karanga

kinjekitile70

JF-Expert Member
Oct 11, 2017
1,072
1,421
Wakuu habari..
Natumaini mu wazima
Lengo la uzi wangu ni kutaka kujua kiundani kuhusu kilimo cha karangaa....
1.Mkoa mzuri unaofaa kwa kilimo hicho
2.mahitaji kwa ajili ya kilimo
3.Total cost per hecter
4.Market
5.Bora kununua kabla ya kumenywa au kulima in terms of cost

Niko serious sana so naomba aliye na maelezo anipe mubashara!!!!

Alaamsik
 
Nataka nikajaribishe hichi kilimo
Kule Wilayani Lushoto

Maana udongo mwekundu + Ukame
 
Hili zao nami nimelipenda sana, linakubali kustawi maeneo mengi sana hasa kwenye udongo wa tifutifu au kichanga, epuka ardhi yenye sisimizi hao ni adui wa hilo zao. Maeneo ya Morogoro pia zinakubalika na hata huku maeneo ya kanda ya ziwa ninalima na kupata mazao mazuri.
 
Karanga mkoa wake ni Dodoma na Tabora, Morogoro sijui eneo gani kwani mkoa huu una sisimizi sana
 
Back
Top Bottom