Habari wakulima na wafugaji wenzangu,
Baada ya kufuga kuku wa kienyeji sasa nataka kuhamia kwenye kuku wa mayai ila nimeandaa bajeti ifuatavyo kwa ajili ya mradi huu. Nina mpango wa kuanza kufuga...
Katika jambo lolote unalotaka kulifanya, ni muhimu kuweka katika mpangilio unaoeleweka. Yaani ujue mwanzo na mwisho ili unapotoka hatua moja ujue unaenda mbele au nyuma.
Hivyo hivyo kwenye...
Katika wanyama upande wa ng'ombe kuna siku tulichinja ng'ombe na baada ya kumchuna ngozi tulimpasua na kumkatakata kugawa nyama, lakini la kushangaza kwenye nyama yake mle ndani ya steki maeneo ya...
Habarini wanaforum.
Naombeni msaada nimefuga vifaranga wa kuku wa kienyeji 75 yapata wiki ya pili sasa.Ninawatunza kisasa ndani ya chumba maalumu nikiwapa huduma zote za kuku wa kisasa.
Sasa...
Hivi nikitaka kufuga kuku 1000 wa kizungu na 1000 wakienyej katika jij la dar es salam,, tabata segerea.....
Nahitaji. Mtaji kama kias gan ikiwa ni kwa ajili ya kununua kuku ña ķujenga bañďa peķ. Ake
Habar Wadau
Natarajia kuanza kilimo cha greenhouse naomba kwa wazoefu mniambie mbegu bora zaidi ya kutumia
Tylka f1
Nikomate f1
Anna F1
Na nyingine nisizozitaja.
Natumai majibu mazuri kutoka kwenu
Habari wakuu!!!
Nina kuku wana umri wa miezi mitatu, ni kuku wa kienyeji kwa muda kama wa wiki moja iliyopita nilianza kuona dalili za kuvimba macho kwa kuku
Kufikia leo ndio wamezidi kuvimba...
Habari zenu humu jamvini,nina mtaji wa shilingi laki Saba ,pia Nina eneo la Eka tatu jirani Na mto wami Morogoro .Baada ya mfumuko wa bei ya mpunga nimehamasika kulima mpunga Aina ya Saro Eka...
Ni kwa bahati mbaya nilipojaza kifusi ndani ya garden yangu kumekuwa na ndagu nyingi sana. Hizi ndagu inaonekana zililetwa na hicho kifusi.Nimejaribu kuzign'oa lakini bado zipo na zimenikatisha...
Kwa yoyote aliepo Dar es Salaam na anamiliki shamba sehemu yoyote ile ya Dar na shamba limemshinda kwenye usimamizi
Liwe shamba la mifugo
Au shamba la mazao yoyote yale
Kijana wenu naomba ajira...
habari ya majukumu ya kutwa wadau wa kilimo na ufugaji. samahani nimeanza ufugaji wa kuku wa kienyeji. nina kuku 30 wa miezi 5 na 6. naombeni kujuzwa kuhusu namna ya kuwapimia chakula. je kuku 30...
Habari wana jamii natafuta patna ambae yupo sirious tufanyenae kilimo cha matikiti kwa msimu huu wa masika project ianze mwezi wa 12 /1/2019 itaisha mwezi wanne. Tutalima hekari 6 patna awe na...
Habari za wakati huu!
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, ninasumbuliwa sana na wanyama waharibifu hususan ngedere shambani kwangu. Nimetumia mbinu mbalimbali mfano kuwatega mitego, kuwafukuza kwa...
Wakuu naomba kuuliza, hivi hawa kuku wa nyama au broilers hawanaga rangi nyingine zaidi ya weupe kama wa kienyeji? Maana kila nimuonaye ni mweupe au ndo wadhungu ndo wameshindwa kubuni rangi...
Hellow wadau wote wa business forum!
Naamini watu wengi wapenda mafanikio huwa wanajifunza kutoka kwa watu waliofanikiwa. Ukitaka kufanikiwa ni vizuri kujichanganya na waliofanikiwa na sio wale...