Mimi ni mkulima wa nyanya nipo Singida.
Sio mbaya tukabadilishana uzoefu kuhusu zao hili ambalo kimsingi zao hili linawatoa sana watu ukilima ipasavyo. Hebu tuambiane upo mkoa gani na mbegu ipi...
Nahitaji kuzipata Chicken water drinking cups kwa bei nafuu. Maana kama miezi mitatu nyuma kuna jamaa mmoja Kariakoo aliniuzia kwa 1500 kwa pisi sasa leo nimerudi tena nimezikosa na kuingia maduka...
Kwa muda mrefu nimekuwa nafuga kuku, ila kwa siku za karibuni nimeanza kufuga bata maji, na sasa nna bata 150, naomba ushauri je niwaache waendelee kuzaliana au niwauze! pia kama unajua soko la...
Ndugu zangu nimeweza kulima nyanya, ziliota vizuri na nimejitahidi kuzihudumia dawa aina zote; yaani yakuzuia athari za ukungu na ya kupambana na wadudu haribifu. Sasa cha kushangaza zilipofika...
Ng'ombe alipigwa Dexamethazone akiwa na Mastitis, akakata kutoa maziwa, yakakauka kabisa. Nadhani huyu alifanya makosa kumchoma hiyo sindano.
Nifanyaje aweze kutoa maziwa tena?
Habari wakuu, naomba kupata uzoefu,nahitaji kununua cages kwa ajili ya kuku wa mayai. Je, cages bora na za kisasa ambazo hazishiki kutu, na zinazokaa muda mrefu na bei nafuu zinapatikana wapi?
Habari jamani, nduguzangu poleni na majukukumu, naomba msaada wenu kuku wangu wana shida moja, kwenye kutotoa ukute kuku ana mayai 12 lakini anatotoa machache Sana naombeni msaada wenu juu ya hili.
Mkuu wa wilaya ya Mvomero nashukuru kwa kulifuatilia swala hilo la ukatili alilofanyiwa mama Fatuma Hasani Diawi, lakini katika swala hilo polisi wanataka kujenga kitu mpaka sasa, baada ya...
Wakulima zaidi ya 50 katika kijiji cha Namatuhi wilayani Songea mkoani Ruvuma wametapeliwa mahindi yao yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 40 na matapeli ambao wamechukua mahindi yao bila...
Mvua kila kona, mvua isiyokatika, usiku na mchana inagonga tu aisee.
Tushamwaga mbegu , tunalea vitaru na kuna plots tumehamishia nyanya mashambani ila kwa hizi mvua duu kazi ipo.
Dawa kila...
Habari!
Naomba kwa anayejua roughly gharama za kuezeka banda la kuku ukaachilia mbao na mabati (specifically gharama za ufundi) lenye ukubwa wa futi 25 kwa 28. Asanteni
Kwa sasa hakuna madawa ya ngombe kama Gentamycin, Butalex, Butaline, OTC na mengine. Hakuna kabisa. Ng'ombe anaumwa anakufa unamuona bila msaada wa matibabu! Ndiko tulikofika Tanzania ya wanyonge!
Ninapenda sana mbaazi nataka kulima zinapandwa wakati gani?..Na mti wake unadumu kwa muda gani ukiendelea kutoa mbaazi?Naomba waliolima wanifafanulie zaidi
Habari za mida wadau wenzangu wa kilimo.
Niende moja kwa moja ni share safari yangu kwenye hii fani ya kilimo ili wale wanaotegemea kujiunga wapate ka uzeofu kadogo japo wapate pa kuanzia...
Naomba sana ujumbe huu uwafikie wahusika.
Miongoni mwa njia wanazotumia viongozi wa vyama vya msingi kujitajirisha kwa kuwaibia wakulima ni kuwa na mawe ya mzani yanayoiba.
Tatizo hili ni kubwa...
habari zenu wadau.naomba tupeane ujuzi kwa wale wenye uzoefu.na uelewa kuhusu kilimo cha mbogamboga kwa kutumia Greenhouse.nini faida zake .pia changamoto zake..karibuni
UHUSIANOKATI YA BIASHARA NA FAMILIA
Biasharainatunzwa na Mfanya biashara na kuzalisha mapato. Katika mapato hayo mfanyabiashara anajilipa mshahara kutokana na kupata faida. Mshahara anao jilipa...