mfuga kuku
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 789
- 589
Kwa muda mrefu nimekuwa nafuga kuku, ila kwa siku za karibuni nimeanza kufuga bata maji, na sasa nna bata 150, naomba ushauri je niwaache waendelee kuzaliana au niwauze! pia kama unajua soko la bata hao naomba unijulishe.