Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,552
Mvua kila kona, mvua isiyokatika, usiku na mchana inagonga tu aisee.
Tushamwaga mbegu , tunalea vitaru na kuna plots tumehamishia nyanya mashambani ila kwa hizi mvua duu kazi ipo.
Dawa kila siku. Mvua inapukutisha maua ya nyanya...miche kitaruni inapata ugonjwa wa kiuno, inakatika katikati...
Kazi ipo.