Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Mashine za kutotolesha mayai ni professional activities, ni utaalamu endelevu na sio dormant activities, mashine za kutotolesha vifaranga zimegeuka kuwa dili kwa wajanja wachache, ikumbukwe kuwa...
3 Reactions
15 Replies
7K Views
PEAT MOSS NI NINI? Peat moss ni udongo maalumu unaotumika kwa ajili ya kuandaa miche hasa kwenye upande wa miche ya mboga mboga na matunda kama vile nyanya,hoho,papai n.k Udongo huu huzalishwa...
1 Reactions
20 Replies
6K Views
Nimesikia wafugaji wengi wa kuku wa mayai wakisema huwa wanakusanya mayai asubuhi na jioni kwakuwa kuku wa mayai hutaga mara mbili kwa siku.je hii ni kweli?
0 Reactions
17 Replies
22K Views
Pikipiki ni bei rahisi kuliko trekta na inaweza tumika kulimia
4 Reactions
7 Replies
4K Views
Wadau habari za usiku. Najua JamiiForums ni kisima cha maarifa, naomba ushauri kwa anayefahamu. Nina miti yangu ya matunda nataka kuotesha, nyumbani ninayo mbolea ya kuku (mavi ya kuku) nilitaka...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari wakuu? Mimi ni mwanafunzi wa Chuo Arusha lakini napenda kujihusisha sana na kilimo. Ni wapi mkoa wa Arusha naweza kufanya kilimo cha umwagiliaji cha maharage ya njano? Kwenye mashamba ya...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Habari za majukumu , naombeni msaada wa mawazo nahitaji kuingia kwenye kilimo cha mpunga naomba anae jua mchanganuo wa haya 1.Gharama za kukodi shamba kwa ekari 1 2.Kulima,palizi kwa ekari 1...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nataka nilime mahindi ila nahofia kuangamiza pesa. Je, nipande mbegu gani iliyo bora kwa kipato kingi?
1 Reactions
101 Replies
23K Views
Na Mwandishi wetu Mihambwe Wakulima wengi ndani ya Tarafa ya Mihambwe wamehamasika mwaka huu kulima zao la Ufuta kutoka kwenye utegemezi wa zao moja la biashara la Korosho. Wakulima hao...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Habari wadau, Naomba ushauri. Je naweza kutumia Tank moja (mfano la lita 5000) lililo juu ya mnara kusambaza maji eneo lenye ukubwa wa ekari hadi 8? Tank liko kwenye mnara wa futi 12. Kama...
3 Reactions
59 Replies
19K Views
Nina mpango wa kulima kimojawapo lengo ni kulima heka 3 cha msingi nahitaji kujua zao lenye faida zaidi ya lingine, changamoto zake, soko pia muda nitakao utumia tangu kupanda mpaka kuvuna
0 Reactions
60 Replies
24K Views
Kama inavyojieleza hapo juu ningependa kufahamu kama Sugar Beets ambayo ni mbadala wa Sugar Cane (MIWA) kwenye kutengeneza sukari ya majumbani inalimwa wapi hapa Tanzania.
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Inakuwaje ndizi zinakuwa zimekomaa kabisa, tena zingine kukomaa kiasi cha kuanza kupasuka lakini nikizikata ili nizivundike ziwe mbivu basi huwa haziivi vizuri, na hata zikiiva basi inakuwa kwa...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Jamani mimi niko Kidato cha Nne lakini nahitaji kuwa bwana kilimo sijui ni kwenye masomo gani amboyo naweza kujikita zaidi ili niweze kutimiza ndoto.
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Anayewafahamu hawa ndege kwa kiswahili wanaitwaje na je, Tanzania wanapatikana ?
1 Reactions
49 Replies
7K Views
Leo natamani kutoa elimu juu ya malezi ya vifaranga wa kuku wa kienyeji ili kupata tija. Napenda niwatoe wasiwasi kwa kuwajulisha kuwa haya mafundisho nitakayoyatoa nimeyasomea ( Agricultural...
5 Reactions
29 Replies
18K Views
Jamani mwaka huu niliamua kuwekeza katika kilimo cha matikiti. Katikati ya safari, kuna ugonjwa umekuja siuelewi. Msaada tafadhali niokoe mkosi huu. Moyo unauma sana maana ni pesa kubwa na mkopo...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Wengi wanamfahamu punda kuwa ni mnyama anayefanya kazi, jamii za Tanzania hasa mkoa wa arusha na manyara wanamtumia punda kwa ajili ya kubeba mizigo yao, wengi wao humbebesha punda mzigo mgogoni...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wakuu picha inajieleza, Majani ya vitunguu yanaanza kusinyaa kwa juu kuja chini na kugeuka ya njano. Ukipasua jani ndani unakuta kuna funza au wakati mwingine humkuti lakini majani yanazidi kuoza...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…