Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Huu ni ugonjwa gani..kuku anakua kazubaa na akisinzia kuna mda kichwa kinageuka kama hivo..hizo dalili amekaa nazo kwa siku 2-3 hivi Kinyesi chake ni cha njano chenye maji mengi picha ipo hapo...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Iliobaki ni kudanganyana na kuibiana yaani hakuna faida hata ya kuwa na waziri wa kilimo,wa nini? hana jipya wala uwezo wa kutufanyia lolote, kama ni mbio tumeshapitwa na tumeshachoka utampitaje...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wajumbe natumaini hamjambo. Naomba kwa yeyote anayejua namna ya kupata mbegu nzuri ya migomba kwa maeneo ya karibu ndani ya jiji hili la DAR Mahitaji yangu sio makubwa kama 100...
4 Reactions
29 Replies
6K Views
Wadau ni kwamba vijana tuchangamke utajiri upo lakini unahitaji mipango. Binamu yangu wiki iliyopita mwezi huu Desemba 2020 ameuza miti yake ya mitiki ambayo aliipanda sio kwa lengo la biashara na...
4 Reactions
18 Replies
4K Views
Habari zenu wadau wa kilimo biashara. Tafadhali rejea kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni mdau wa kilimo cha mahindi na naomba kujua namna ya kupata maghala ya kuhifadhia mahindi kuanzia tani...
2 Reactions
6 Replies
4K Views
Anaejua mbegu zinapopatkana au miche Pia hata alie lima kama anauza matunda Nataka kujumua..kwa Mbeya wap zinapatikana
2 Reactions
7 Replies
4K Views
Hivi hapa Bongo kuna watu wanao lima haya mafraisha kama kilimo biashara?
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Wadau kwema Katika pita pita zangu nimekuta mahala makala Mkuu wa Wilaya wa Kongwa Dkt. Serera na KM Kilimo Wakiwa wanafanya ukaguzi kwenye mashamba ya Korosho Vijiji vya Mkutani na Msunjilile...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari wakuu?. Hope tunajiandaa vema na sikukuu ya pasaka pia hongereni kwa mapumziko mareeeefu!. OK nirudi kwenye kitu kilichonileta hapa kwenu nyie wadau na wataalam wa fani mbalimbali mliopo...
3 Reactions
104 Replies
27K Views
Wadau kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, nahitaji shamba la kukodi, kwa mikoa inayopakana na Dar. Shamba lisipungue Ekari tano; liwe karibu na chanzo cha kudumu cha maji, ( maji yawe...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nataka kwenda kuwekeza kwenye kilimo cha mahindi na mpunga huko Msowero. Swali langu je, nitapata mazao ya kutosha kwa eneo hilo yaani hali ya hewa na rutuba...
2 Reactions
24 Replies
7K Views
Habari zenu humu ndani. Kutokana na changamoto za ufugaji wa hawa bata wadogo na matokeo ya vifo vya mara kwa mara, kuna kitu nahitaji kufahamu. Je ni muda gani ambao hawa vifaranga wa bata...
1 Reactions
8 Replies
7K Views
Habari zenu wana JF. Naomba msaada kwa yeyote anayefahamu kama kuna mbegu za muda mfupi za haya matunda ya stafeli na fenesi. Pia naomba kujua matunda haya huchukua muda gani tangu kuoteshwa...
1 Reactions
25 Replies
7K Views
Mnyauko Fusari kwenye zao la nyanya. Mnyauko Fusari (Fusarium Wilt) ni ugonjwa kwenye zao la nyanya, ugonjwa huu pia unaweza kushambulia mazao mengine kama viazi, pilipili, mbilingani, kunde...
2 Reactions
3 Replies
5K Views
Wakuu habari, Ningependa kujiingiza kwenye kilimo, lakini bado sijajua ni mazao gani nataka kulima. Nilifikiria kulima mpunga lakini moyo wangu unasita. Kilimo gani kinaweza kunitoa kimaisha kwa...
2 Reactions
89 Replies
37K Views
Most people found it too hard to milk their cows on this morden day lifes,because there are technologies that has been implemented to milk this cows. But living on the farm can teach that it's...
0 Reactions
0 Replies
844 Views
Jana 29/11/2020 wauzaji wa mbolea wanadai bei elekezi ya kuuzia mbola imeongezeka. Tarehe 26/11/2020 nimenunua mfuko wa DAP kwa 52,000/ Jana mfuko huohuo naambiwa 66,000/= hii bei mbona...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kumekuwa na maswali kwenye jukwaa hili kuhusu ufugaji wa ng'ombe wa maziwa ,Mimi ni mfugaji wa muda mrefu nimeamua nitoe mchango wangu juu ya ufugaji wa ng'ombe wa maziwa. Hapa nchini Kuna aina...
2 Reactions
3 Replies
6K Views
Natanguliza heshimu. Mara zote huwa naamini katika intelligency ya baadhi ya wana JF. Ushauri tunaopata hapa umetusaidia wengi kwa namna moja au nyingine. Ndg zangu, leo naomba nishauriwe namna...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Taifa letu ni tajiri wa ardhi na mifugo mingi isiyo na tija stahiki, ardhi inapungua kila uchao. Zimekuwepo jitihada kiduchu kuboresha mbegu. Serikali na wasomi wetu kuweni makini. Kupanga ni...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…