Jaman mimi ni mwanafunzi wa SUA nimeandaa project plan ya ufugaji was nguruwe ila Sina mtaji naomba mwenye ushauri wa wadau wa maendeleo (stakeholders) ambao wanaweza kunisaidia kupata mtaji...
Nimekuwa nikipata maswali mengi kutoka kwa wadau wa ufugaji mbuzi ambao wanaotaka kujua kuhusu upatikanaji wa mbuzi aina ya Boer hapa Tanzania.
Ili kujibu swali hili nimetengeneza video ambayo...
Jina lingine ni iroko. Ni mti wenye mbao imara ambazo pia hard wood. Unapatikana Afrika kwenye misitu ya mwambao wa bahari kutoka Benin mpaka Angola, Msumbiji Lamu Madagascar.
Inasadikika miti...
Wajuzi naomba mnisaidie, kuku wangu wanavimba macho! Yanafumba! Wanasinzia! Pia wanapata choo cha rangi ya kahawia! Niwape dawa ipi!?
========
Zaidi soma: Msaada: Kuku wangu wanavimba sehemu za...
Wakuu habari zenu,
Kutokana na hali ya mvua mwaka huu ilikuwa sio ya kuridhisha sana kwa baadhi ya maeneo, tulitegemea kwa sisi wakulima Bei za mazao zingepanda haraka haraka, lakini hali si hali...
Kama kuna ambaye anajua sababu ya kufutwa kwa maonyesho ya nane nae tujuze. Maonesho haya yalikuwa ni fursa za kibiashara na sio fursa tu bali hata kuwa sehemu ya burudani kwa siku zile za...
Wakuu nawasalimia. Kama kichwa kinavyojieleza. Nina shida ya dawa ya kuzuia mnyauko tajwa hapo juu. Kwa anayejua ninakoweza kuipata kwa Dar es Salaam naomba nielekezwe kabla mambo hayaharibika...
Hongera kwa majukumu popote ulipo!
Uchumi wa Tz kwa kiasi kikubwa unategemea au umefungamana na kilimo.
Kwa kumbukumbu zangu, niwie radhi kama nakosea, hakuna chaneli ya TV inayorusha...
Mwaka juzi nilipita shamba la Alizeti la Mzee mmoja nikavutiwa na namna Alizeti yake ilistawi na ikiwa na afya.
Nikamfuata na kumpongeza sana kwa namna ameweza kuihudumia ile Alizeti akaniambia...
Na Gaspary Charles
WAKULIMA wa mwani kisiwani Pemba wameiomba serikali ya mapinduzi ya Zanzibar kuingilia kati upatikanaji wa soko la zao hilo ili kuwanusuru na hali ngumu ya maisha...
Habari wadau wa ufugaji
Naomba kujua gharama za kufuga kuku wa nyama idadi 500 kuanzia siku ya kwanza mpaka hadi kufikia mwezi kwa mtu ambaye anafanya shughuli hizo au alishawahi kufanya...
Kama mnavyofahamu wakulima tunapaswa kuongeza ufanisi wa kazi yetu hii kwa kuongeza matumzi ya zana bora za kisasa ,mimi mwenzenu nimeagiza mashine ya kupalilia inaitwa BRUSH CUTTER japo ina...
Wilaya ya Mbarali ndio eneo linalotoa 70% ya 32% ya Mpunga unaozalishwa Nchini ikiwa na Schemes zaidi ya 5 za Watu binafsina za Serikali.
Scheme ya Madibila:
~ Eneo ekari 23,005, Ekari 15,000 za...
Wapwa kwema?
Wakuu, naomba tupeane taarifa yoyote inayohusu hiki kilimo (niko interested nacho);
Mfano:
Wapi kinalimwa kwa wingi,
Mtaji wa kuanzia
Eneo lipi zuri la kulima
Eneo la kuanzia...