Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Hali ya joto na aina ya udongo iliyopo mkoa wa Mtwara inaruhusu kabisa kufanya kilimo cha mazao ya Maharage na Vitunguu endapo tu utakuwa na chanzo cha maji cha kuaminika lakini watu hawalimi...
6 Reactions
41 Replies
2K Views
Naomba kwa wazoefu wa mikoa ya Dar, Morogoro, Dodoma, Iringa, Mbeya mnipe uzoefu wenu. Wafugaji wengi wa kuku wanauza kuku kwa mazoea sana, mnunuzi anakuja anamshika anamtikisa kidogo hivi...
4 Reactions
9 Replies
859 Views
Habari wana jukwaa, Mimi ni mkulima na mfanya biashara mdogo wa zao la zabibu na mzalishaji pia wa wine..Nina habari njema kwa wale wanao hitaji kununua Mchuzi wa Wine(Mvinyo) halisi wa Dodoma...
3 Reactions
2 Replies
272 Views
Wakuu, Naomba wataalamu msisaidie,siku hizi imekuwa adimu sana kuwaona vipepeo kirahisi tofauti na hapo zamani. Nataka niwavutie vipepeo shambani au kama kuna uwezekano wa kununua mbegu mahali...
4 Reactions
17 Replies
446 Views
Natamani kumshauri mwanangu akasomee utaalamu wa kufuga nyuki chuo kikuu. Ninachojiuliza ni kuwa je, ni vyepesi kiasi gani au ni ngumu kiasi gani mtu kujiajiri kwenye ufugaji nyuki ukiwa na...
1 Reactions
168 Replies
46K Views
Habari zenu wadau. Naomba kupatiwa dawa mujarrab ya kutibu ugonjwa wa mafua na uharo kwa kuku wa aina zote maana kwangu hili tatizo lishakuwa sugu. Muwe na siku njema
0 Reactions
3 Replies
352 Views
Habari za leo wakulima na wafugaji wenzangu. Mmea huu una maajabu sana kiasi cha kwamba unahitaji tu Alfalfa kuwa 3% ya lishe ya mfugo wako kwa siku. Ukizidisha basi mfugo wako atasambuka kwa...
1 Reactions
3 Replies
873 Views
Leo tunaendelea rasmi na somo la Uandaaji wa Mpango Biashara (Business Plan) kwa wafugaji na wakulima Hili ni somo muhimu sana kwa yeyote anayefanya au anayepanga kuanza kilimo na ufugaji wa...
1 Reactions
1 Replies
235 Views
Kwa mfugaji mmoja mdogo, kifaa kimoja kilimuokoa kati ya hasara nakuleta matumaini. Andiko hili linahusu kitu ambacho wafugaji wengi hukipuuza mwanzoni — udhibiti sahihi wa joto na unyevunyevu...
2 Reactions
0 Replies
303 Views
KUMBUKIZI Kuna tofauti kubwa sana kati ya nguruwe wa kienyeji na nguruwe wa kisasa wa kibiashara. Bila kufahamu tofauti hizi, mfugaji anaweza kuingia kwenye hasara bila kujua wapi amekosea...
0 Reactions
0 Replies
367 Views
📌 KUMBUKIZI LA UHALISIA “Ng’ombe mmoja akiwa amezaa, huwezi kukosa lita 25 za maziwa kwa siku ukiwa na ng’ombe bora na lishe sahihi. Mimi nina zaidi ya ng’ombe 10, na soko la maziwa ni kubwa...
1 Reactions
3 Replies
619 Views
Habari Ndg naomba kwa wadhoefu wa field msaada mchanganuo wa gharama kwa ekari moja wa mazao yafuatayo tafadhali nipate mwanga 1. Nyanya ekari moja 2.Vitunguu vya kawaida ekari moja 3.Hoho...
2 Reactions
8 Replies
724 Views
Kwa mujibu wa TAPIFA (2024) 🐖 Tanzania hutumia takribani tani 79,000 za nyama ya nguruwe kila mwaka, lakini huzalisha tani 27,000 pekee. 👉 Tani 52,000 huagizwa kutoka nje kila mwaka. Huu si...
0 Reactions
0 Replies
237 Views
Tanzania ni nchi inayotembea juu ya mabega ya wakulima na wafugaji. Kila sahani tunayoweka mezani ni matokeo ya jasho lao—wakati mwingine jasho la mwisho kabisa. Lakini cha kushangaza ni kwamba...
4 Reactions
10 Replies
931 Views
📌 KUMBUKIZI Tulipata fursa ya kumtembelea Afande Ntale, askari mpambanaji na mwenye maono. Licha ya majukumu yake kazini, hakuona sababu ya kuachana na ufugaji wa ng’ombe wa maziwa. Kwa kupitia...
1 Reactions
1 Replies
285 Views
Habari wanajamvi, Naomba kufahamu mahali wanakopatikana mbuzi kwa wingi na bei nafuu niko dar nahitaji wengi kwa biashara kama unafahamu mkoa, wilaya au kijiji basi naomba mnifahamishe.
6 Reactions
63 Replies
4K Views
KUMBUKIZI 📌 Hapa ni zaidi ya Miaka m3 nyuma ambapo tulimtembelea Mzee kwezi na akatueleza na kutusanua fursa inayopatikana Katika Ufugaji wa ng'ombe wa Maziwa. Hapa alieleza jinsi ambavyo...
1 Reactions
20 Replies
884 Views
  • Redirect
2 Reactions
Replies
Views
💡Je, unajua? Ukirekodi gharama zako zote kwenye Fuga App,inarahisisha kufuatilia faida na hasara zako kwa urahisi ukiwa popote pale kupitia simu yako📱kwa ajili Ufugaji Wako wa Kuku Huna haja ya...
3 Reactions
2 Replies
483 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…