Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Wafugaji wenzangu wa broilers huko kwenu soko lipoje maana huku kwenye ni vilio tupu. Saiv nimeamua kugawa tu kuku maana wanazidi kunitia hasara.
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Hata kama wanachukua vya kule Mang'oea na kufanya repacking bado tu ni kwamba ni wana akili, mbona sisi tunashindwa kufanya hio packing? Wakenya wanauza vitu vingi sana kwetu na vingine huwa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wadau Nawasalimu. Bila kuyatatua Matatizo yanayoikabili Sekta ya Kilimo kwa Miaka 60 iliyopita HAKUNA MAJABU tutakayofanya kwa KILIMO Chetu Tutakuwa TUNADANGANYANA. KILIMO cha Tanzania bado ni...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Nilikutana nayo leo, nilienda kule kikazi ikabidi nizunguke kuangalia products mbali mbali. Haya matunda unaweza vuna miaka 40 Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakulima wengi mkoani Kilimanjaro kwa sasa wameanza kuangalia fursa mbalimbali katika sekta inayohusiana na kilimo cha mazao ya biashara pamoja na masoko yake. Baadhi ya wakulima wachache mkoani...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Nimesoma sehemu kuwa mmea huo una protini nyingi kwa kulisha mifugo, hasa wanyama wanaocheua. Sijaona sehemu wanapoelezakuhusu wanyama wengine. Je, inafaa pia kwa kulisha nguruwe na akapanufaika...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wakuu nahitaji kupata mkulima au supplier ambaye atakubali kuniuzia maparachichi mazuri na kwa bei isiyo nzuri. Awe na vigezo vifuatavyo. 1. Uwezo wa kuuza parachichi kwa makubaliano ya bei...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
PANDA MITI YA MBAO NA NGUZO UNUFAIKE BAADAE Kilimo cha miti kimepata umaarufu wa ghafla miaka ya hivi karibuni kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ongezeko la mahitaji ya mazao ya miti na...
2 Reactions
15 Replies
14K Views
Waungwana Habari!! Kwa wafugaji wa kuku naombeni kupewa miongozo ya upatikanaji wa hiyo mbolea kiasi cha gunia kama 30 hivi. Naomba vitu vitatu nivijue Mosi, wapi ilipo hiyo mbolea niifuate...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Niko kahama shinyanga, ni mjasiliamali ninaeshughulika na ufugaji wa kwale. Wapi nitapata soko la mayai
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Tujadili kuhusu kuku wa kienyeji -Naanza kwa kuuliza hivi unamgunduaje jogoo angali kifaranga? -Tunaambiwa mdondo hauna tiba, je inachukua muda gani kuku akishapatwa na ugonjwa huo?
2 Reactions
26 Replies
8K Views
Naomba msaada wa mtu anayeijua Handeni hasa Vijijini nataka kwenda kulima Mahindi. Kuna mtu kaniambia niende. Kama hauna msaada usichangie hapa.
1 Reactions
27 Replies
8K Views
WADAU napenda mwaka huu nianze kilimo cha Mpungu huku IFARAKA kwenye mwezi wa 12. Mnishauri ni Sh ngapi inahtajka kwa heka 20 na kila heka inaweza kunipa sh ngapi. Wenye uzoefu kama Masanja...
1 Reactions
6 Replies
7K Views
Habari wakuu. Ninaanza ufugaji wa nyuki kwa hiyo sina uzoefu. Kuna changamoto moja nimeisikia kwamba nyuki wana tabia ya juiacha mizinga na kuhamia sehemu nyingine. Kana hii ni kweli naomba kujua...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Kwa wafugaji wa nguruwe me Niko morogoro mjini pesa ipo mkononi njoo tuongee biashara
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta dakitari wa mifugo alieyeko Mwanza specifically. Igoma Buhongwa Kisesa au maeneo karibu na hayo
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wana jf, napenda kuwajuza kuhusu kilimo kilicho chukua chat sana na kukua kwa kasi kwa miaka ya karibuni kwa maeneo ya rungwe MBEYA. Kilimo cha tangawizi kimesaidia sana kuboresha maisha...
2 Reactions
8 Replies
5K Views
Wakuu, naomba kuuliza, Kufuga kanga wa porini , sungura na kware, ni lazima kuwepo na kibali?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wadau samahani naombeni kujua tatizo la mapasheni kusinyaa na kudondoka chini kabla ya kukomaa. Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
11 Replies
5K Views
Waungwana Habari!! Kwa wafugaji wa kuku naombeni kupewa miongozo ya upatikanaji wa hiyo mbolea kiasi cha gunia kama 30 hivi. Naomba vitu vitatu nivijue Mosi, wapi ilipo hiyo mbolea niifuate...
1 Reactions
6 Replies
876 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…