Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Habari wadau, Ninatarajia kupata 20m na nahitaji inizalishie minimum 10m ndani ya mwaka mmoja kupitia kilimo. Je, nilime au nijihusishe na nini ili nifikie lengo langu kupitia kilimo au ufugaji...
6 Reactions
48 Replies
9K Views
Kilimo cha parachichi kimekua n fursa sana kwa vijana kulingana na uhalisia wa soko kubwa lililopo ndan na nje ya nchi. Unaweza kutengeneza pesa kwa kuuza miche ulio iandaa au kuiotesha wewe...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Uzi huu Ni maalumu kwa wakulima kutoka sehemu mbali mbali pia tupeane connection za kilimo pamoja na mazao Kwa waliofanikiwa kupitia kilimo nivyema mpite hapa na kutushauri mengi kuhusu kilimo...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Salama wa kuu? Sina hakika kama tittle yangu km imekaa vzr, but ntajaribu kuielezea hapa. Ni kwamba nimekua nikijiuliza hili swali kwamba je, nguvu za ngo'ombe wa maksai zinaweza kutumika kuvuta...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Bei za kusafirisha mazao kutoka sokoni (mikoani) mpaka sokoni Dar/ Masasi mwezi May 2022 zikoje hapo ulipo
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Habarini wadau, poleni na majukumu. Kwa wanaoijua hii miti/maua hapo, anaweza kunijulisha kwa kiswahili yanaitwaje na wapi napoweza kuipata? Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
0 Replies
539 Views
Wadau, mimi mfugaji wa Bata nahitaji Mashine za kutotolesha mayai (Incubators), lakini iwe na uwezo wa kutumia umeme na Solar na Unaweza kuwa ya mayai 50-90+. Yeyote mwenye kujua aina nzuri kwa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakulima wa nyanya mkoani songwe mbozi naomba tupeane ujuz
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakubwa salaam, Ningependa kama kuna mtu anajua faida za binzari nyeusi na tangawizi nyekundu. Pia kama kuna tofauti yoyote na binzari za njano au tangawizi nyeupe
0 Reactions
0 Replies
670 Views
Nataka kuingia kwenye kilimo cha njugumawe, naomba anayejua chochote kuhusu hili zao naomba taarifa zake
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Habarini wadau na wapambanaji wenzangu. Mi nimeanza mradi wa kufuga nguruwe na nimeanza na watoto. Wanguruwe 10. Majike nane na madume 2 ambapo madume hayo nataka. Niyahasi yakue fasta yaje...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Habarini wana jamvi, ninapenda kuwashirikisha jambo ambalo nililiona huko mkoani Iringa, wilaya ya Mufindi. Mwezi march mwaka huu 2021, nilienda kijijini kwetu huko mufindi, nikabahatika...
27 Reactions
141 Replies
27K Views
Habari! Kwa kipindi kirefu nasikia kwamba Kilimo chenye tija cha nyuki kinaweza kumtoa mkulima kimaisha! Na nikilimo kichokuwa na gharama kubwa, eneo wala muda mwingi wa kukifuatilia kwani...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Nielezee na jinsi ya kuipanda ikiwezekana tafadhali
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari za hapa wanajamii forum!! Naombeni msaada wenu kwa wanaojua tatizo la nguruwe aliekaribia kuzaa (amebakiza wiki 1) kutokwa na mapele kuzungukia titi. mapele haya yalikuwa na hali tofauti...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Unatakiwa utafute miti ya kubeba matawi pia. Tafuta karai chakavu, weka udongo na mbolea. Unaweza kuotesha mchicha na nyanya .
3 Reactions
3 Replies
780 Views
Habari wakulima na wafugaji wenzangu, Mimi ni mkulima wa Machungwa na Mahindi Muheza Tanga ila msimu huu nataka kujaribu kilimo cha Maharage, nimeandaa eneo la eka 2 ila eneo lina michungwa...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Wakuu salaam, Naomba mwenye kujua dawa ya wadudu wanaoshambulia mimea aina ya mahindi anijulishe.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nisaidieni wadau, huo ni ugonjwa gani wa bata? Unatibiwaje? Vifaranga vya bata wangu vinaisha kwani hupoteza uwezo wa kutembea kama muonavyo pichani kisha hufa. MSAADA WA HARAKA WA USHAURI...
3 Reactions
33 Replies
10K Views
Wana jamvi niwasalimu kwanza, na moja kwa moja niende kwenye mada. Asubuhi ya leo nimepokea taarifa toka kwa rafiki yangu mmoja aliyeko Dar akitaka kufahamu kwa nini mbwa jamii ya Rottwieler...
50 Reactions
402 Replies
104K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…