Mkulima na Mfugaji
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,013
- 1,634
Habari wakulima na wafugaji wenzangu, Mimi ni mkulima wa Machungwa na Mahindi Muheza Tanga ila msimu huu nataka kujaribu kilimo cha Maharage, nimeandaa eneo la eka 2 ila eneo lina michungwa mikubwa ambayo Tayari inazaa, je, naweza kuchanganya michungwa na Maharage? Je, kivuli cha michungwa hakiwezi kuathiri Maharage, naomba ushauri kwa wazoefu.