Sisi wafuasi wa vuguvugu la kupinga ufirauni tumesikitishwa na kutokomea kwa Museven baada ya muswada dhidi ya ushoga kuletwa kwake.
Bunge lilishamaliza kazi yake, hivyo tulitarajia apitishe hiyo...
Sheria kali dhidi ya mashoga inatungwa Uganda, hata wamiliki wa nyumba watakaokodisha kwa mashoga watakamatwa
6 Machi, 2023
Kennes Bwire
Rais wa Uganda Yoweri Museveni akisaini mswada dhidi ya...
1. PREAMBLE
Dear Yoweri Kaguta Museveni,
The President of the United Republic of Uganda:
On 28 February 2023, one Reverend Fr. Charles Onen, a former Catholic Priest, and who is a member of...
Bunge la Uganda hivi karibuni lilipitisha mswada kuhusu mapenzi ya jinsia moja, ambapo kufuatia muswada huo, watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja nchini humo watakabiliwa na kifungo au...
Kweli Duniani Kuna Mambo!
Wikiendi Muswano mwanaJF.
Kila siku unatafuta njia, fulsa ili ujikwamue kutokana na msongo wa mawazo kimaisha, hapo ulipo kuna fulsa ila hujaiona au hujui namna ya...
Marekani imeionya #Uganda kubadili mawazo ya kupitisha muswada mpya wa kukabiliana na vitendo vya ushoga, na iwapo itakaidi wanaweza kakabiliwa na vikwazo mbalimbali
Msemaji wa Baraza la Usalama...
Akihutubia la Nchi hiyo jana, Machi 16, 2023, Rais Yoweri Museveni alisema vitisho vya Magharibi vya kuwekea vikwazo nchi za Kiafrika zinazopinga ushoga ni vya kinafiki kwa sababu nchi za...
Muhoozi Kainerugaba, ambaye ni Jenerali wa jeshi la Uganda, kupitia ukurasa wake wa #Twitter amethibitisha kugombea kiti cha Urais wa nchi hiyo baada kudai kuwa anajua watu wengi walimtarajia...
Mahakama imemtaka Mwanamke mmoja wa Kanungu kulipa kiasi hicho cha fedha ikijumlisha fedha iliyotumika kumlipia ada ya masomo ya Stashahada pamoja na faini ya usumbufu na uchungu wa kisaikolojia...
Wabunge wamewasilisha Bungeni Muswada unaopendekeza adhabu mpya kali kwa wanaojihusisha na uhusiano wa jinsia moja, licha ya ukosoaji kutoka kwa Mashirika ya kutetea haki za binadamu
Chini ya...
Serikali imetia saini Mkataba na Shirika la Kitaifa la Nyuklia la China (CNNC) ambalo litasaidia kujenga uwezo katika matumizi ya Nishati ya atomiki kwa malengo ya amani.
Kwa mujibu wa Waziri wa...
Kiongozi mkongwe wa Upinzani nchini Uganda Dkt. Kizza Besigye ametangaza kwamba atatumia mbinu tofauti kumuondoa madarakani Rais wa sasa Yoweri Museveni na sio kupitia uchaguzi kwa madai mazingira...
Baada ya Museven kujazwa moto na wapambe wake, mwaka 2013 aliamua kuja na sheria kali dhidi ya mashoga nchini Uganda kupitia bunge lake ambapo adhabu ya kosa hilo ilikuwa kifungo cha maisha jela...
Asema anaongoza watu wazembe sana, wana mvua ya kutosha hivyo hauhitaji kujituma Uganda ili upate msosi, wengi wapo wapo tu siku ziende......
Japo binafsi nimefanya kazi na Waganda, huwa...
==========
Don’t treat homosexuals in our facilities, says Maj Gen Takirwa
The Deputy Commander Land Forces Maj Gen Francis Takirwa has asked health workers to stop treating homosexuals in...
Kama mada tajwa hapo juu inavojieleza, Ndugu zangu wa uganda naomba mwenye uelewa na Organization structure/chart ya Uganda Wildlife Authority anisaidie,Nimejaribu kuisearch google and other sites...
Watu tisa wamefariki dunia, wengine kadhaa kujeruhiwa katika mkanyagano uliotokea jana usiku nje ya Mall ya Freedom City mjini Kampala wakati wa kukaribisha mwaka mpya.
Huu ni uhuni! Ninachokiona hapa ni Mhe Yoweri Museven kutumia mbinu zingine za kimedani kujaribu "KUJIPINDUA" ili aweke mtu sahihi wa kumrithi.
Mwisho wa hii movie ninadhani atakakuja kusema...
Polisi nchini Uganda wanachunguza tukio la mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 59, Rosette Najuma ambaye ameaga dunia siku ya Jumatano Februari 8 wakati akifanyiwa maombiKanisa la Christian Life...
Baada ya Kanisa kuu ya Uingereza kutambua na kushiriki na watu wanao shiriki ndoa ya jinsia moja, kiongozi mkuu wakanisa ya Anglican ya Uganda ametanganza rasimi kuanza mchakato wakujitenga na...