Ugandan News and Politics

Serious discussions on Politics and Latest news from Uganda

On JF:

Ndugu zangu spiritual Jews duniani kote. Leo ni kumbukumbu ya mashujaa wa Kiisrael walipowaokoa ndugu zao pale Entebe Uganda. Kijana Jonathan Netanyahu akiwa na umri wa miaka 28 aliongoza...
0 Reactions
1 Replies
667 Views
Benki ya Dunia imesema pato la kila mwananchi wa Uganda ni dola 850 kwa mwaka wa fedha unaoishia 2022, huku uchumi ukikua kwa wastani wa asilimia 3.7 ambapo ni chini sana ya kiwango cha chini cha...
0 Reactions
0 Replies
985 Views
Jeshi la uganda limesema kuwa limegundua kituo cha mafunzo kwa wpiganaji wa kiislam Km 60 tu kutoka kampala, watu watatu wanashikiriwa, aidha vyuma vya kutengenezea milipuko vilipatikana pia...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Picha:Mabinti wa museven ni pisi kali balaa hawa kiasili ni waganda kweli? Mmeona pisi kali za mzee baba? Hawa ni waganda kweli kiasili maana wanafanana na watu wa Rwanda kwa asilimia 100% Ila...
12 Reactions
110 Replies
21K Views
President Museveni has blamed past leaders and colonialists for Uganda’s poverty, saying they “poisoned the minds’’ of hardworking farmers. “When the colonials came here, they made our people...
0 Reactions
2 Replies
877 Views
Tafiti za Mashirika kadhaa ya Umoja wa Mataifa zimebainisha kuwa zaidi ya watu nusu milioni sawa na asilimia 40 ya wakazi katika eneo la kaskazini-mashariki mwa Uganda la Karamoja wanakabiliwa na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kainchi kadogo ila wanajituma... Uganda has reached the middle-income status despite an onslaught of crises in the past three years, President Yoweri Museveni said on Tuesday. According to...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Dear kakensa, I want to bring to open the troubles at our new Uganda Airlines and how it is going to collapse soon. This place has become like Hell after the suspension of some staff orchestrated...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Polisi trafiki Mjini Kampala asubuhi ya leo Jumatatu 30-may 2022 wamemkamata dereva wa Ikulu baada ya kudaiwa kujaribu kupiga U-turn katika lango la shule ya Msingi ya Aga Khan na kuwatisha...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kiongozi wa upinzani Nchini Uganda, Dkt. Kizza Besigye amekamatwa na amefunguliwa mashtaka ya uhalifu baada ya kuitisha maandamano ya kupinga kupanda kwa bei za bidhaa muhimu na kutaka Serikali...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Umoja wa Wauguzi na Wakunga wa Uganda (UNMU) umetangaza kuanza mgomo kuanzia leo Mei 26, 2022 kutokana na malipo duni, ikiwa na maana wanaungana na wataalam wa afya wengine walioanzisha mgomo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hello fellow JF members, I am planning to trip to Uganda later this year probably on December I'm just looking for someone to host my stayings I will staying there for 2 weeks I have opted to book...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Waziri wa Uganda akinukuliwa "Ikiwa hutumii akili alizokupa Mwenyezi Mungu, usimlaumu unaposalia kuwa maskini. Jitahidi kuushinda umaskini kwa sababu kuwa tajiri ni utukufu," Gazeti la New...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Police arrest political activist, Dr Kizza Besigye after he tried to leave his home on May 23, 2022. Uganda police have arrested political activist and former presidential contender Kizza Besigye...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nilienda Uganda kwenye mitkasi yangu nikabook lodge moja Kali tu donwtown Cumpala pale Bakuli mu bitara. Tangazo lao likanitisha maana kila baada ya sentensi moja kuna neno kisenge..loh! Im...
2 Reactions
73 Replies
22K Views
Rais wa Uganda Yoweri Museveni anasema serikali yake haitaingilia kati hali ya sasa ya uchumi nchini humo huku kukiwa na kupanda kwa gharama ya maisha kwa kiasi kikubwa kutokana kupanda kwa bei ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Moja kwa moja kwenye mada.. Inaelekea licha ya watu kutafuta pesa kwa jasho na mateso mengi lakini hawajali kabisa matumizi ya pesa zenyewe.. Uganda inaweza kuwa mfano na kuwakilisha matumizi...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Jana nmeona mwanadada mrembo Ila kutokana na lugha gongana sijaelewa mwenye clear information atuambie je huyu mdada ndiyo mkuu wa MAJESHI au ? Na je Kuna uwezekano mwanamke kuwa special force...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Picha: Luteni Jenerali Muhoozi Kainerugaba Mtoto wa Rais Museven afikishwa mahakamani kwa kuutaka Urais wa Uganda Mahakama ya kikatiba ya Uganda imemtaka mtoto wa Rais Yoweri Museveni, Luteni...
4 Reactions
47 Replies
5K Views
Back
Top Bottom