Uganda: Mmoja akamatwa kwa kuzusha Rais Museveni amefariki kupitia Mitandao ya Kijamii

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,498
9,279
Hii ni baada ya Rais Museveni, kuwaelekeza maafisa wa usalama kufanya uchunguzi wa haraka na kuwakamata waliokuwa wanasambaza habari feki kuwa amekufa

Msemaji wa Idara ya Upelelezi nchini humo Charles Twiine, alisema mshukiwa aliyetambuliwa kama Jamilu Ssekyondwa atashtakiwa baada ya kupatwa na ushahidi

Uvumi huo ulisambaa sana kama moto kwenye mitandao ya kijamii licha ya kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 76, kuonekana hadharani usiku wa Juni 26

Chanzo: Tuko
 
Back
Top Bottom