ZAIDI ya wananchi 800 wa Uganda wamesaini waraka wa kushinikiza kufikishwa katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC, Rais Yoweri Museveni wa nchi hiyo.
Kampeni hiyo inayokusudia kukusanya kwa...
Polisi nchini Uganda wamesema wamewakamata watu 120 katika Baa moja mjini Kampala na kukamata dawa za kulevya katika operesheni hiyo. Baa hiyo inaruhusu wapenzi wa jinsia moja kuburudika katika...
Amani iwe nanyi wakuu,
Msanii na Mwanasiasa wa Uganda Bobby Wine ametajwa na jarida la Forbes kuwa ni binadamu mwenye ushawishi zaidi duniani, hasa hasa kwenye muziki na siasa.
Majuzi Msanii...
Uganda na Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo zimesaini mkataba wa kufanya maboresho ya miundombinu hasa barabara zinazounganisha nchi hizo mbili katika kipindi cha ndani ya miezi 24 kwa lengo la...
Ndege mpya ya Uganda Airline inayomilikiwa na Serikali ya Uganda leo imezindua rasmi safari zake za kwenda Mombasa Kenya kwa kile kilichoelezwa kuwa kutangaza na kuimarisha sekta ya utalii...
Mwanafunzi wa darasa la tatu ya Shule ya Msingi Lukolo wilayani Jinja amekufa kufuatia mapigano na mwanafunzi mwenzake.
Mwanafunzi huyo mwenye umri wa miaka 12, aliripotiwa kuanguka sakafuni...
Rais M7 wa Uganda amekodi ndege binafsi kwa ajili ya timu ya Taifa ya Uganda The cranes. Watacheza na Malawi na kurudi kujiandaa kwa mchezo unaofuata siku hiyo hiyo. Sjui timu yetu wanamkakati gani!!
The Inspectorate of Vehicles has said Ugandan roads are the worst in East Africa in terms of carnage, killing at least 3,500 people per year.
While opening a joint smart drivers’ training...
Mwanamuziki ambaye pia ni Mwanasiasa, Robert Kyagulanyi maarufu ‘Bobi Wine’ ameshtakiwa akidaiwa kuwa na nia ya kumkera, kumshtua au kumkejeli Rais Yoweri Museveni
Shtaka hilo linahusianishwa na...
Raia wa sehemu hiyo ni watu wanaounga mkono harakati za Boby Wine kwa yanayofanywa na Museveni huko Uganda aliyepokea kipigo na kufa baadae baada ya kipigo anajulikana kwa jina la Sweet Pepsi...
It was for a good reason that Kenya lost pipeline deal to Tanzania
President Uhuru Kenyatta with Uganda President Yoweri Museveni (right) at Entebbe State House in Uganda last year. Last week...
Upasuaji huo wa aina yake umefanyika kwa mafanikio makubwa katika Hospitali ya Mulago chini ya Kliniki ya Endocrinology
Mtoto huyo alizaliwa akiwa na jinsi ya Kike na kulelewa kama Mtoto wa Kike...
Godfrey Wamala amekutwa na hatia ya kumuua Moses Sekibogo (Mowzey Radio) bila ya kukusudia. Hukumu hiyo imesomwa licha ya Mwanamuziki huyo kufariki katika ghasia zilizotokea sehemu ya starehe...
Askari Polisi nchini humo wametumia mabomu ya machozi kuwatawanya wanafunzi wanaondelea na mgomo katika Chuo Kikuu cha Makerere
Wanafunzi wamedai kuwa Polisi hao wametumia risasi za moto dhidi ya...
BUGIRI: Mtoto wa Kike wa miaka 6 afariki kwa kuteketea kwa moto wakati Baba yake akiwa anafuatilia mchezo kati ya Arsenal na Crystal Palace
Mama wa Mtoto huyo, Yudaya Namugere alimuacha mwanaye...
C&P from Bobby Wine
Zulaikah Nalukenge Ssekitto Kasujja ( Pictured), a very committed #PeoplePower supporter, mobiliser and activist has been reportedly missing for three days now. When I first...
Waliweka kizuizi cha barabarani huko katika eneo la Kaliro, walitegemea kuteka gari la raia wa kawaida lakini wakakumbana na gari la Polisi
Polisi walipoona kizuizi hicho walifyatua risasi...
Sixteen Ugandan LGBT activists were subjected to forced anal examinations after being arrested, the country's leading gay rights organisation said Thursday.
The 16 men were taken into police...