Ugandan News and Politics

Serious discussions on Politics and Latest news from Uganda

On JF:

Security forces in Uganda have said that they will beef up deployments in 39 districts across the country, considered hotspots for violence. The announcement comes on the last day of campaigning...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Uganda's communications regulator on Tuesday ordered internet service providers to shut down social media and messaging applications, just two days before elections. In a letter, Uganda...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
The National Unity Platform presidential candidate Robert Kyagulanyi Ssentamu alias Bobi Wine has said two of his gardeners were arrested and his security guard badly beaten by security operatives...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
SIASA ZA AFRIKA SHIDAA Yuleeeeeee Endeoeen kuuana tu
2 Reactions
196 Replies
15K Views
The East African Community (EAC) member states have sent a 74 man short-term election observers to witness Uganda's presidential and parliamentary elections on January 14, 2020. They are to...
0 Reactions
1 Replies
962 Views
Waganda wenye umri chini ya miaka 35 -wanamjua rais mmoja peke yake na zaidi ya robo tatu ya wakazi wa nchi hiyo ni vijana. Yoweri Museveni, aliingia madarakani baada ya kutoka katika mapigano ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tume ya uchaguzi nchini Uganda imepiga marufuku wapiga kura kwenda na simu au kamera kwenye kituo cha kupiga kura wiki ijayo tarehe 14 au kubaki kituoni kusubiri matokeo, agizo hilo limetolewa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wapiga kura, wanasiasa wa upinzani na wachambuzi wa maswala ya usalama nchini Uganda, wana wasiwasi mkubwa kufuatia hatua ya rais Yoweri Museveni kuteua wanajeshi kusimamia usalama wakati wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
National Resistance Movement (NRM) presidential candidate Yoweri Museveni has accused the Electoral Commission (EC) of treating him like other candidates who have been holding mass rallies which...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanahabari wasiokuwa na idhini ya kuangazia uchaguzi mkuu wa Uganda wamezuiliwa kufanya hivyo. Katika taarifa iliyotolewa Jumatano usiku na Inspekta Jenerali wa polisi nchini humo, Meja Jenerali...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Miaka ile wakati Dr. Kiiza besige akipigwa hadharani na polisi wa Uganda huku wakimweka kizuizini wakati wa kampeni na katika maisha yake ya kawaida, kwa kosa la kushiriki siasa na kugombea nafasi...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Maafisa wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa, wameitaka Uganda kudhibiti vurugu za vikosi vya usalama na kuwaondolea mashitaka wapinzani wa kisiasa na wanaharakati waliokamatwa katika kile...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ripoti za vyombo vya habari Uganda vinakariri mashahidi wakisema kwamba Francis Kalibala, aligongwa na gari la jeshi la Uganda UPDF wakati msafara wa Bobi Wine ulikuwa unarudi Kampala kutoka...
3 Reactions
21 Replies
5K Views
Tume inayosimamia mawasiliano nchini Uganda (UCC) imeandika barua kwa kampuni ya Marekani ya Google, ikiitaka kampuni hiyo ifunge stesheni kadhaa za televisheni zinazopeperusha matangazo yake...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Polisi Uganda wamkamata mwanaharakati wa kutetea haki za binadamu ambaye ni mkosoaji wa serikali. Hata hivyo polisi wamewaruhusu mawakili wa mwanaharakati huyo maarufu Nicholas Opiyo kuzungumua...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwaka ujao 2021 Museveni anaenda, hatoboi Muzungu keshamchoka na sasa na hatomkingia kifua tena, color revolution imeingia Uganda, kutatokea maandamano makubwa nchini Uganda ambayo hayajawahi...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Watanzania tumetoka katika uchaguzi siku chache zilizopita lakini jirani zetu wa Uganda wanaelekea katika uchaguzi siku chache zijazo. Mlio na nafasi jaribuni kufuatilia katika TV za Uganda hasa...
0 Reactions
1 Replies
877 Views
Due to the surging Covid-19 infections and persistent violation of Standard Operating Procedures (SOPs) by some political candidates, the Electoral Commission (EC) has suspended campaign meetings...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Pendekezo la viongozi wa dini ya Kikristo nchini Uganda kutaka uchaguzi uahirishwe kwa miaka mitatu limepokelewa kwa maoni mbalimbali. Viongozi wa kidini wamejitokeza na wazo hili wakisema kuna...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Shirika la Mpango wa Chakula la Umoja wa Mataifa limesema zaidi ya wakimbizi milioni 1.2 nchini Uganda watapunguziwa mgao wa fedha na chakula kuanzia mwezi Februari kutoka kwa wafadhili wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom