Uganda: Watu waliofariki kwa Ebola wafikia 21

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
1,206
3,054
Wizara ya Afya ya Uganda imesema takwimu hizo ni hadi kufikia Jumapili Septemba 25, 2022.

Kwa waliofariki, wanne wamethibitika kuwa na maambukizi wakati 17 walionekana kuwa na dalili za virusi hivyo.

Aidha, watu wengine 34 wanadaiwa kuwa na maambukizi, kati yao 16 wakithibitika kuwa na #Ebola huku 18 wakionesha dalili za maambukizi.

-----

Uganda: Cumulative Deaths From Ebola Rise To 21

The Ministry of Health in Uganda has confirmed that the cumulative death toll from Ebola virus hit 21 as of Sunday evening.

In a tweet, the ministry said 4 out of the deaths were confirmed to be as a result of Ebola, while 17 others were established to have been probably caused by the virus.

The statistics from the health ministry showed that 34 cumulative cases of the virus have been recorded, with 16 being confirmed and 18 probable.

The virus, which was first reported in Mubende District has now spread to Kyegegwa and Kassanda.

No confirmed cases have been reported in Uganda’s capital, Kampala.

The spread of Ebola in Uganda has seen its neighbours Kenya and Rwanda put in place stringent measures to prevent transmission of the virus through their border points.

In Kenya, countries such as Busia, Bungoma, Trans Nzoia, West Pokot and Turkana, which border Uganda have put in places measures to avert the virus’ spread.

Source: Digital Citizen
 
Covax

JF-Expert Member
Feb 15, 2021
1,726
5,714

M7 ni mpiga pesa wana tafuta mbinu za kupata pesa kutoka nje za corona zimesha isha.
 
smaki

JF-Expert Member
Jan 23, 2019
4,807
2,847
wacha wafe! wana viburi sana waafrica!! tunawasaidia lkn figisu figisuuu! uchawi unoko, wivu, sasa mtu anajitolea kufa eti mnamzuia! hivi waafrica mna akili kweli??
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom