Rais Museveni aondoa vizuizi vyote vya kukabiliana na Ebola

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,118
Kiongozi huyo amechukua uamuzi huo kwa maelezo kuwa Nchi yake imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuudhibiti Ugonjwa huo ulioambukiza watu 142 na vifo 55.

Museveni amesema "Kwa sasa, hakuna Maambukizi, hakuna Wagonjwa katika vituo vya Karantini na tunaendelea vyema na idadi ya wenye maambukizi inapungua".

Oktoba 22, Serikali iliweka vizuizi vya Kusafiri na Amri ya kutotoka nje usiku pamoja na pia kufunga maeneo ya Ibada na Burudani. Desemba 2 Uganda ilimruhusu Mgonjwa wa mwisho kutoka Hospitali.
==================

Ugandan President Yoweri Museveni lifted all Ebola-related movement restrictions on Saturday, saying the East African country had made progress in curbing the deadly disease.

Museveni rescinded restrictions on the disease's epicentre in the district of Mubende, which logged 66 cases and 29 deaths, and in the Kassanda region with 49 cases and 21 deaths.

"Currently, there is no transmission, no contact under follow-up, no patients in the isolation facilities, and we are progressing well with the count down," Museveni said in a statement.

Officials first confirmed the outbreak in September and said it was the Sudan strain of the disease, which kills 40%-60% of those it infects, and for which there is no proven vaccine.

In October, the Kampala government imposed travel restrictions and an overnight curfew and also shut places of worship and entertainment. Earlier this month, Uganda said it had discharged its last Ebola patient.

Ebola causes vomiting, bleeding and diarrhoea and spreads via contact with bodily fluids of the infected. The virus can sometimes linger in the eyes, central nervous system and bodily fluids of survivors and flare up years later.

REUTERS
 
Back
Top Bottom