Ugandan News and Politics

Serious discussions on Politics and Latest news from Uganda

On JF:

Uganda imetangaza Wagonjwa 31 wapya wa #COVID19 waliopatikana baada ya sampuli 1,116 kupimwa ndani ya saa 24 zilizopita na kufanya jumla ya maambukizi kufikia 253 Wagonjwa 23 ni kutoka mipakani...
3 Reactions
50 Replies
6K Views
Construction of Isimba bridge excites locals FRIDAY JANUARY 24 2020 Project. The pillars that are being constructed to hold the Isimba Bridge. PHOTO BY FRED MUZAALE In Summary Progress. Eng...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Can someone translate this into English?
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Naomba usaidizi nasafiri Kampala wiki ijayo ningependa usaidizi kujua guest za bei ya mwananchi wa kawaida Kampala mjini ni zipi na forex bureau zenye rates poa
2 Reactions
34 Replies
10K Views
Rais Museveni wa Uganda amelihutubia taifa na kusema kuwa tarehe 04 mwezi June shule zote za msingi, secondary na vyuo vitafunguliwa tarehe 04 June mwaka huu. Bwana Museveni pia ameitaka wizara...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
The number of COVID-19 cases in the country has risen to 274 after 10 people tested positive for the disease on Wednesday. Out of the 10 cases, nine are truck drivers while one case is a contact...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rais wa Uganda Yower museven amesema Leo amefanya utafit unoa onesha kua. Binadam kwa siku anaweza kula gram 250 za unga kwa mlo mmoja ivyo akiwagawia raia wake kilo mbil mbili wataweza kula kwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Lumumba msikilize Museveni anavyoongea kuhusu corona nchini mwake mfanye ulinganisho. Najua mtanipiga madongo, lkn nawaomba mlinganishe hotuba za Mbowe, Museveni Na Mh Rais. ====== All...
10 Reactions
76 Replies
10K Views
Leo katika kupitia pitia katika mitandao ya kijamii nimekuta kuna video inasambaa katika facebook ikionyesha mwanamke mmoja ambaye inasemekana ni muhadhiri katika chuo kimoja nchini Uganda...
3 Reactions
19 Replies
4K Views
Wizara ya Afya Uganda imetangaza ongezeko la Wagonjwa 21 wote wakiwa raia wa Uganda na wamepatikana baada ya sampuli 1,071 kupimwa katika mipaka ya nchi hiyo Wagonjwa hao wamepatikana katika...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Visa ya #COVID19 nchini Uganda vimefikia 160 baada ya visa vipya 21 kutangazwa jana kufuatia sampuli 1,896 kupimwa hapo jana Kati ya sampuli hizo, 1,593 ni madereva wa malori na 303 ni sampuli...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Arua, Uganda | THE INDEPENDENT | Five Tanzanian truck drivers who tested positive for COVID-19 have been discharged from Arua Regional Referral Hospital. They include four drivers who were...
0 Reactions
0 Replies
843 Views
Serikali ya Uganda imeanza kutumia mashine za GeneXpert mipakani, ili kuwapima madereva wa magari ya mizigo kabla ya kuingia nchini humo Taarifa kutoka Wizara ya Afya imesema kumekuwa na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema kuwa itakua ni 'uwendawazimu' kuendesha uchaguzi wakati wa mlipuko wa virusi vya corona. Ameliambia shirika la habari la Uganda NBS kwamba mipango ya...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Wakati Kenya ikilalamika kwamba Tanzania ndio chimbuko la virusi, waganda wanaiona Kenya ndio nchi yenye kuingiza virusi kwa wingi nchini mwao. Tanzania haijachukua hatua Kali kama kuwauwa raia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wizara ya Afya imesema dereva mmoja amekutwa na maambukizi baada ya sampuli 2,168 za madereva kufanyiwa vipimo. Dereva huyo ni raia wa Kenya mwenye umri wa miaka 27 na aliingia Uganda kupitia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Katika hali ya kushangaza, kutia aibu na kusikitisha, Raisi Museveni ameitisha maombi ya nyumbani, ambapo yeye akiwa na mkewe wameonekana wakiongozwa maombi na muombaji ambaye aliomba kuwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
BREAKING: ministry of healthy of uganda has reported again today 13 truck drivers test positive for coronavirus in Uganda [emoji3532]Results of samples tested on 8 May, 2020 confirmed 13 new...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kama ambavyo tumekuwa tunashauri, maisha hayawezi kusimama kabisa. Ni kweli lipo janga lakini tujikinge wakati mambo mengine yanaendelea. Tulisema kuwa baadhi ya nchi nyingi zili over react, of...
2 Reactions
25 Replies
5K Views
Wizara ya Afya ya Uganda imesema kuwa idadi ya wagonjwa wa corona nchini humo imefikia 101 kutoka wagonjwa 100. Idadi hiyo imepanda baada ya Mtanzania mmoja ambaye ni Dereva wa Lori kutoka nchini...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom