Ugandan News and Politics

Serious discussions on Politics and Latest news from Uganda

On JF:

NBS Television @nbstv Lockdown yapunguzwa makali. 1. Uganda kuzuia madereva wa magar ya mizigo kutokushuka kwenye gar pale waingiapo uganda. Watoto wa kike wa kiganda waonywa kutembea na...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Wizara ya Afya ya Uganda imetangaza ongezeko la mgonjwa mmoja wa COVID19 nchini humo na idadi ya visa imefikia 89. Mgonjwa mpya ni dereva, raia wa Kenya aliyegundulika baada ya sampuli 2,729 za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mada tajwa hapo yahusika Hivi nauli ya ndege toka Kampala/Entebbe kwenda Juba ni UGshs ngap?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wizara ya Afya Uganda imesema kuna ongezeko la wagonjwa watatu wa corona na kufanya idadi ya maambukizi ya jumla ua corona Uganda kufikia 88, wagonjwa wapya ni Dereva wa Lori MKenya na wa Burundi...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Huku idadi ya wagonjwa waliopona Corona kufikia28 baada ya wagonjwa wengine 6 kupona na kuruhusiwa kutoka hospitali leo hii. Rais Museveni wa Uganda amesema kuwa“Nawapongeza madaktari na wahudumu...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametangaza hatua mpya za kudhibiti mienendo ya madereva wa malori yanayoingia nchini humo kutoka mataifa jirani baada ya zaidi ya madereva 20 kupatikana na ugonjwa...
3 Reactions
14 Replies
4K Views
Uganda has confirmed 4 new COVID_19 cases out of 1,989 samples tested on Sunday 26th April. All patients are Tanzanian truck drivers who arrived via Mutukula border, Ministry ofHealth says. 411...
3 Reactions
104 Replies
12K Views
Baada ya mafanikio makubwa kukabili maambukizi ya corona Uganda , waziri Jane Ruth Aceng amepeleka team ya waatalamu mitaaani kutathmini hali halisi na hatimaye kuundosha lockdown kwa awamu...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
President Yoweri Museveni has assured Ugandans that government in conjunction with the regional leaders is exploring ways of dealing with the continued imported cases of COVID-19 as a result of...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Ugandan Police spokes person Fred Enanga: Ghana tried to ease the restrictions on Coronavirus two days back only to record 271 new cases and one death in 24 hours. Coronavirus is very...
0 Reactions
1 Replies
713 Views
Mahakama ya kikatiba nchini Uganda imefutilia mbali sheria hiyo ambayo ilisababisha mataifa ya Magharibi kuinyima Uganda msaada Wanaume wanaounga mkono mapenzi ya jinsia...
2 Reactions
161 Replies
24K Views
Wizara ya Afya Uganda imesema wagonjwa wengine 11 wa corona wameongezeka na kufanya visa kufikia 74 nchini humo, kati ya wagonjwa hao wapya sita ni Watanzania (Madereva wa Malori) walioingia...
2 Reactions
39 Replies
4K Views
Kaweesi alizaliwa katika Kyazanga, wilaya ya Lwengo. Wazazi wake (Esther na Alfonse Mutabazi) waliendelea wakati wa utoto wake na hii ilimuacha yeye na nduguze mikononi mwa jamaa zake. Wazazi wa...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Madreva 2 zaidi wa magari ya mizigo kutoka Tanzania kuelekea Kampala nchini Uganda wamekutwa na virusi vya corona baada ya vipimo mpakani imese taarifa ya wizara ya afya ya Uganda. ===== Uganda...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
37 Chinese Nationals arrested in Uganda for fraud At least 37 Chinese nationals have been booked for fraud by the Ugandan authorities for running a tele fraud scheme while on a visitor visa in...
0 Reactions
0 Replies
859 Views
Six Chinese nationals arrested in Uganda after escaping quarantine Six Chinese nationals who had arrived at Entebbe Airport aboard Ethiopian Airlines after they had flown in from Guangzhou in...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanasayansi wa Uganda wafanya utafiti wa kutengeneza chanjo dhidi ya virusi vya Corona Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema wanasayansi nchini humo wanajitahidi kufanya utafiti utakaosaidia...
16 Reactions
33 Replies
6K Views
Wizara ya Afya Uganda imetangaza ongezeko la mgonjwa mmoja wa corona na kufanya idadi ya visa vya corona kufikia 56 nchini humo, mgonjwa mpya ni mkimbizi wa Burundi mwenye umri wa miaka 46 ambaye...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mbunge Francis Zaake amekamatwa na Polisi akidaiwa kutoa msaada wa chakula kwa wananchi wenye uhitaji jimboni kwake, jambo ambalo ni kinyume na maagizo ya Rais Yoweri Museveni ambaye hapo awali...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Katika hili janga la Corona Mh Museven aneonyesha nini maana halisi ya kua kiongozi na kusimamia usalama wa wananchi wake... Na kutoa miongozo ya changamoto mbalimbali yenye tija kwa nchi. Sina...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Back
Top Bottom