Waganda walioko Afghanistan wagoma kurudi kwao

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,011
9,879
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda, Jenerali Jeje Odongo amesema waganda walioko Afghastan wamegoma kurudi Uganda

Jen. Odongo amesema katika waganda walioko Afghanstan ni waganda watatu tu walioko tayari kurudi na wameshaandaliwa utaratibu

Wengine wamesema wako salama wataendelea kubaki. Nchi kadhaa zimekuwa zikiwatoa raia wake baada ya Taliban kuudhibiti nchi

=======

The Foreign Affairs Minister, Gen Jeje Odongo, yesterday told Members of Parliament that despite efforts by the government to look for and evacuate Ugandans trapped in Afghanistan, a section of them are not willing to return.

Gen Odongo was responding to queries raised by legislators on the Foreign Affairs Committee in regard to foreign policy.

“We are making every effort to look out for any other Ugandan in Afghanistan and have established that there are also some who are unwilling to return. They simply say we are okay, we don’t want to leave,” Gen Odongo said.

He added: “The evacuation of Ugandans is done voluntarily, we aren’t forcing anyone to leave Afghanistan.”

Gen Odongo said only three Ugandans were willing to be flown back to Uganda and government is making plans to jet them into the country.

He, however, said 10 Ugandans were evacuated by United Nations (UN) on flights bound for London, United Kingdom and six of these have since returned to Uganda.
 
Uganda's Foreign Affairs Minister has told legislators that despite government efforts to evacuate Ugandans trapped in Afghanistan, a section of them are not willing to return.
Gen Jeje Odongo was responding to foreign policy queries raised by legislators on Tuesday.

“We are making every effort to look out for any other Ugandan in Afghanistan and have established that there are also some who are unwilling to return. They simply say we are okay, we don’t want to leave,” he said.

1630514931899.png
 
Madikteta wanafanya raia wazawa kuzikimbia nchi zao na kugoma kurudi...

Kuna wafanyabiashara wengine wapo Zambia kule walikimbia enzi za Kayafa, wamegomaga kabisa kurudi bongo tena na tozo hizi zisizoeleweka ndio kabisa wanaweka mkazo na wanaona heri kuuza kitenge kimoja ukiwa Zambia kuliko kuuza vitenge vitano ukiwa TZ.
 
Miaka ya 2000 pana vyuma vilotoka unguja na kwenda Somalia vilisalia huko mpaka 2015.AkilI zetu waswahili tunazijua wenyewe
 
mnawaona hao tu, Tundu Lisu kagoma, Rema kaagoma japo jiwe hayupo! Anzoli gwanda ndo kabisaa kabadili na jina
 
Back
Top Bottom