Ugandan News and Politics

Serious discussions on Politics and Latest news from Uganda

On JF:

Jimmy Akena amejiuzulu ubunge baada ya CDF Jenerali Muhozi kupendekeza kwamba masuala yote yanayohusu haki za binadamu yataamuliwa kwa pasenti mia na Kamati Kuu ya Chama tawala, NRM, kabla ya...
2 Reactions
11 Replies
821 Views
Mlinzi wa Mwanasiasa wa Upinzani Nchini Uganda Bobi Wine, Edward Ssebuufu maarufu kama Eddie Mutwe, alifikishwa mahakamani Jana akiwa katika hali mbaya ya kiafya akiwa anatetemeka na kulia kama...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Kampala kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Kampala. Ninaomba tuangalie katika positive...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Bobi Wine, ameshutumu nchi za Magharibi kwa kutokemea ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unaofanywa na serikali ya Yoweri Museveni. Bobi Wine amedai baadhi ya...
2 Reactions
3 Replies
874 Views
https://x.com/HEBobiwine/status/1920087242871112128 Edward Mutwe, ambaye ni mlinzi mkuu wa kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Uganda, Bobi Wine, alitekwa na mtoto wa Musebeni ( Muhoozi )...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Police have confirmed the death of businessman Rajiv Ruparelia following a car crash at the Busabala Flyover traffic lights in Makindye-Ssabagabo, Wakiso District. Traffic police spokesperson...
0 Reactions
0 Replies
543 Views
Hali ya demokrasia nchi za Afrika mashariki inazidi kuzorota, huko Uganda mtoto wa Museveni anajisifu kuteka na kuwatesa wapinzani wake huku akitishia kuua hadharani yeyote anaekosoa serikali...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Waziri wa Nchi, Kazi, Ajira na Mahusiano ya Viwanda, Kanali Mstaafu Charles Okello Engola ameuawa kwa kupigwa risasi asubuhi ya Mei 2, 2023 na mlinzi wake akiwa nyumbani kwake Kyanja, Kampala...
3 Reactions
72 Replies
7K Views
Kwa kizazi cha sasa hakiwezi kuijuia hii historia, wala haisimuliwi tena, nakumbuka tulikuwa tunavisoma vile vitabu tukiwa bado wadogo na kuona jinsi gani huyu mtu alivyokuwa mnyama. Nakumbuka...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Uganda Jenerali Muhoozi Kainerugaba amesema yupo tayari kumsaidia Rais wa sasa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Felix Tshisekedi kuendelea kubaki kuwa Rais na...
2 Reactions
2 Replies
770 Views
A group of exiled Ugandans has announced its intent to return to Uganda by force if necessary. In an October 5th statement issued from Kisangani, Democratic Republic of Congo, the 'Coalition of...
0 Reactions
4 Replies
29K Views
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye, amefikishwa mahakamani na kufunguliwa mashtaka ya uhaini, huku maombi ya mawakili wake ya kutaka apelekwe hospitalini kwa matibabu yakikataliwa...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Mahakama ya kijeshi ya Uganda imemhukumu wakili maarufu, Eron Kiiza, kifungo cha miezi tisa jela kwa kosa la kudharau mahakama. Kiiza ni wakili wa mwanasiasa wa upinzani Kizza Besigye. Kesi hiyo...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
KWA KIGANDA - KWA UFUPI Abamu ku Babaka ba Uganda okuva mu NRM, ab’ebyobufuzi abatalina kyebegattako wamu n’ab’ennyingiza yaabwe bagambibwa nti baweebwa obukadde 100 za Uganda buli omu okuva eri...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mahakama ya kijeshi ya Uganda imemshtaki mwanasiasa wa upinzani, Dkt Kizza Besigye, pamoja na mshirika wake, Hajj Obeid Lutale, kwa kumiliki silaha nchini Kenya, Ugiriki, na Uswisi...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Mahakama ya kijeshi nchini Uganda siku ya Jumatano iliwahukumu wanachama 16 wa chama cha upinzani kifungo cha miaka mitano jela kwa kupatikana na vilipuzi kinyume cha sheria na mashtaka ya...
0 Reactions
2 Replies
884 Views
Angalia tamko lake la jana kuhusu sintofahamu ya M23 na DRC Huyu ni mtoto wa Yower Museveni na ndiye CDF wa Uganda People Defence Force na Rais ajaye wa Uganda
6 Reactions
66 Replies
3K Views
Wakuu, Askari wa Usalama wanaomlinda Rais wa Uganda Yoweri Museveni walimzuia mwanaume asiyetambuliwa aliyekuwa akijaribu kumkaribia Rais Museveni katika viwanja vya Msikiti wa Mbogo wakati wa...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Idadi ya vifo vilivyothibitishwa na maabara vya ugonjwa wa mpox nchini Uganda imepanda hadi 10 baada ya vifo vinne kusajiliwa katika siku tano zilizopita, kulingana na mamlaka. Katika ripoti ya...
0 Reactions
3 Replies
561 Views
Back
Top Bottom