Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

wakuuu mambo vipi wale wataalam wa network, ningeomba msaada kama kuna ip mbili unawezaje kujua kama zipo network moja au network nyingine...
0 Reactions
3 Replies
732 Views
Si kila kava ni kwajili ya ulinzi wa simu, Kuna kava ambazo zipo kwajili ya mvuto, ikiwa unanunua kasha kwa lengo la mvuto chagua yoyote itayokuvutia lakini kwa lengo la ulinzi hasa kwetu wenye...
4 Reactions
12 Replies
727 Views
Google Developers wamekuja na ubunifu wa kipekee! Mtumiaji anapotafuta Squid Game Season 2 kwenye ukurasa wa kutafuta, kuna pop-up ya ile business card iliyotumika kwenye Squid Game Movie...
4 Reactions
7 Replies
619 Views
Nimelipia online service moja lakini cha ajabu malipo yamekataliwa na kuambiwa kua IP Address niliotumia kufanya malipo iko katika range ya IP ambazo ziko black listed, na Tanzania iko blacklisted...
8 Reactions
29 Replies
1K Views
๐— ๐—”๐—š๐—”๐—ญ๐—˜๐—ง๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—œ๐—๐—”๐—ฃ๐—”๐—ก๐—œ ๐—ฌ๐—”๐—ก๐—” ๐— ๐—•๐—˜๐—š๐—จ ๐—จ๐—ž๐—œ๐—ง๐—จ๐—ฃ๐—” ๐—Ÿ๐—œ๐—ก๐—”๐—ž๐—จ๐—” ๐— ๐— ๐—˜๐—” Inawezekana umeshangaa naam Japan ili kuondokana na uchafuzi wa mazingira waliunda magazeti ambayo yana mbegu ukifanikiwa kusoma na kulitupa...
5 Reactions
8 Replies
696 Views
Habar wakuu solar panel yakumpuni ipi ya solar ni imara Sundar, oceanic, mobisol.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Zipo za aina 2 ya gas na ya umeme
2 Reactions
23 Replies
7K Views
Wakuu, Youtube ukitoka kwenye kurasa huwa inajizima au inastop kuplay! Kuna njia ya kuset isifanye ivo yaan uendelee na shughuli nyingine halafu youtube iendelee kuplay
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Habari za mwaka mpya wakuu, Kumekua na changamoto ya mawasiliano hapa nchini, kama mwaka mzima sasa, hususani kwenye mawasiliano ya kupiga/kupokea simu, kutuma/kupokea ujumbe wa maandishi, na...
2 Reactions
6 Replies
493 Views
naomba kuuliza wakuu nmenunua fridge hisense rd 20 lakn naona mbele kwenye milango kuna rangi ya silver na pembeni kuna rangi flani ya kqma kijivu flan je ndo yanakuag hvo au nimepgwa hapa wakuu
2 Reactions
43 Replies
3K Views
๐— ๐—ฎ๐—ด๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐—บ๐—ฎ๐—ฝ๐˜†๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐— ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐—ฑ๐—ผ๐—ธ๐—ฎ๐˜€๐—ถ ๐˜†๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐˜†๐—ผ๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—š๐—ฎ๐˜€ ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ๐˜€๐—ถ๐—น๐—ถ ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ Wakati upanuzi wa barabara za Mwendokasi ukiendelea ili kurahisisha Usafiri nchini Tanzania. Tanzania sasa inasubiria mabasi zaidi...
4 Reactions
6 Replies
515 Views
Habarini wana Jamvi,kwa faida ya wote na wengine Leo nitafunguka Jinsi nilivyo ibiwa Laki Mbili na Nusu yangu na watu hapa watanishauri nifanye nini au tunaweza saidiana Kumkamata huyu Mwizi! kwa...
4 Reactions
174 Replies
25K Views
Habari zenu wakuu, nina uhitaji wa flash disk. Wala sina mpango wa kuagiza nje ni emergency hivyo itabidi ninunue madukani, nipo mkoani brand zinazotamba ni Kioxera, Toshiba, Imation, Sandisk...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Wengi tumekuwa tukiona walinzi wa viongozi wakubwa wakibeba briefcase na kufikiri Huwa wanabeba documents lakini kazi kubwa ni zaidi ya kubeba documents. Briefcase hutumika kama silaha na pia vile...
9 Reactions
30 Replies
1K Views
Muda mwingi nakuwa mbali na Computer,natumia nokia 6630 napopata data za PDF nashindwa kuzisoma....Nisaidien jaman kama ipo nidownload.
1 Reactions
7 Replies
2K Views
AI imetumia zaidi ya siku moja sasa, mpaka sasa haijatoa jibu la swali/task langu. Kila nikiuliza update ananiambia nisubiri analifanyia kazi. Au uwezo wake umeishia hapo?
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Habari wakuu Pc yangu aina ya Lenovo imekumbwa na virus hali inayo sababisha kuwa nzito, movie ku-scratch, kujitype yenyewe mfano kwenye search bar yani mambo ni mengi mno. Nimejaribu mara...
1 Reactions
1 Replies
523 Views
WhatsApp business yangu kwa siku za hivi karibuni imekuwa ikinisumbua inakuw ina logout na kunisubirisha baada ya masaa 24 tena ndy niweze kujaribu kuingia tena, na yanapofika masaa 24 niki verify...
2 Reactions
13 Replies
832 Views
Guys! Naomba ushauri wenu ,nimefungua mtandao wa kuwaweka pamoja wauzaji na wanunuzi wa Tanzania. Naomba kama mtapata nafasi muupitie mnipe ushauri wapi niongeze au nipunguze. Najua humu kuna...
20 Reactions
101 Replies
4K Views
Njoo nikutengenezee PayPal ya UNITED KINGDOM UK na utaweza kutoa pesa zako kwa mpesa tigo pesa na airtelmoney yako kirahisi zaidi PATA PAYPAL YAKO LEO KWA 40K TU .
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ