Niulize chochote kuhusu popcorn machine

Boloyoung

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
680
627
Zipo za aina 2 ya gas na ya umeme
81xlc0IKB%2BL._AC_SX425_.jpg
 
Kuna machine za umeme ambazo zimetoka ulaya Kama hiyo pichani pia Kuna za umeme ambazo zinazotengenezwa hapa nchini na za gas ni hivyo hivyo.
Pia popcorn machine ya umeme inawezekana ikabadilishwa ikawa ya gas kwahiyo Kama unayo ya umeme na unahitaji ya gas huna haja ya kununua ingine hiyo hiyo inabadilishwa.
 
Pia popcorn machine ya umeme inawezekana ikabadilishwa ikawa ya gas kwahiyo Kama unayo ya umeme na unahitaji ya gas huna haja ya kununua ingine hiyo hiyo inabadilishwa.
Hivi ya gas na umeme ipi nzuri? Yaani ipi inadumu na kutoa bisi za ukweli na gharama za uendeshaji?
Ila ingependeza ungeweka sample ya ulizotengeneza
 
Hivi ya gas na umeme ipi nzuri? Yaani ipi inadumu na kutoa bisi za ukweli na gharama za uendeshaji?
Ila ingependeza ungeweka sample ya ulizotengeneza
Zote ya gas na ya umeme zina ufanisi sawa kutoa bisi nzuri inategemea na upishi wako hasa zile za sukari maana ndo zina mbwe mbwe sana!

Sasa katika uchaguzi wako itategemea na mazingira yako ipi utaona inakufaa ya gas au ya umeme

Gharama za uendeshaji

Machine ya gas ina gharama ndogo za uendeshaji kuliko ya umeme
Kwa mfano machine ya umeme kwa siku utalipia umeme sh 1000 ambayo ni sawa na 30,000 Kwa mwezi na 90,000 kwa miezi 3

Lakini gas machine let's say kwa siku unapika kilo 1 ya mahindi gas itadumu kwa miezi 3 ambayo ni sawa na 20,000 wakati umeme umelipa 90,000 Kama gharama ya umeme.
 
Back
Top Bottom