Habari zenu jamani kwa wale waenyeji wa mkoa wa singida hasa manispaa tafadhali nisaidieni anaejua mahali lilipo duka la sim na vifaa vya HUAWEI anielekeze plzzzz
Sent using Jamii Forums mobile app
Msaada;Smart phone yangu aina ya W4 hai access internet service gafla hii week ya 2 nliamua kui flash lakini bado tatizo lipo pale pake
Sent using Jamii Forums mobile app
60-PLUS SOCIAL NETWORKING SITES IN 2017
Human nature by default has been programmed to be socially active to a certain extent. Some people are more active, while others are less so!
However...
Habari wanajamvi,msaada wa haraka unahitajika kuna rafiki yangu aliweka call barring for all incoming calls kwenye simu yake mpaka sasa hapokei simu wala sms.
Tumejaribu kutoa kwa kutumia namba...
Habari zenu..... Mwenye uelewa namna ya kufuta chat history on whatsap hata mtu akifanya back up asikute chat histories and messages anaeelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi nilijaribu kubadili battery nikaweka lingine ila tatizo likabaki lilelile,nikaamua kubadili adapter ila still tatizo likabaki lile lile.
Kwa wataalamu naomba msaada katika kutatua hili tatizo
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza
Nataka kujua yafuatayo:
1.Uwezo wa laptop husika kucheza games kubwa na nzito.
2.Specification za laptop husika.
3.Majina ya ma games unayocheza.
Yale...
Ninapoiwasha ina activate window, alafu inaniandikia low storage wakati kuna zaid ya GB 200 ziko free nashindwa kuielewa
Window ni 8 pro
Sent using Jamii Forums mobile app
Almost everyone nowadays likes to become a YouTuber, both the people that owns a blog/site and those who don't have. Recently, online job seems to be the most suitable and easiest way to make...
Habarini ndugu. ..
Leo nawaletea ujanja/somo namna ya kukwapia picha iliyoko kwenye whatsap status ya mtu, bila ya kumfwata inbox.... Kumuomba akutumie picha au video aliyo iweka kwenye whasap...
Wakuu kama mada inavyojieleza hapo juu, nina simu yangu aina ya Htc one M8 nilikuwa naitumia kama kawaida. Mara ghafla ikawa haisomi line ukiweka line inasema "No Simcard". Nikapeleka kwa fundi...
Shallom / Assalam Aleykum Wanaboard.
Husika na kichwa cha thread hapo juu.
Naomba mnieleweshe naweza vp kuweka whatsapp accounts 2 kwenye iphone/ios 10 kwenye android i used to use ile app ya "...
kama kichwa cha habari kinavyojieieza majina yamefutika baada ya kufanya fomati ya simu yangu,majina nilikuwa nayahifadhi kwenye yahoo email.Aina ya simu ni Y-4 Techno
Ninatanguliza shukrani.