Nimepoteza iphone 5 naomba msaada jinsi ya kuipata

Nimepoteza iphone 5 naomba msaada jinsi ya kuipata

Acha Dhambi

Senior Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
147
Reaction score
46
Nimepoteza iphone 5 naomba msaada jinsi ya kuipata nimetumia siku tatu tu na pia icloud nilifungua nina serial number na IMEI nifanye nini kuipata?
 
Ulikuwa unasafiri kutoka wapi kuelekea wapi?
 
Unaweza kumpa mtu ATM [emoji388] na password akakutolee pesa?

Ttz lenu Fikra zenu Fupi
Hivi Ukiwa bank ATM ikazengua au we mwenyewe ikakuzengua Akija Mfanyakazi wa Bank kukuelekeza humtajii hio no ya Siri?
Na je sim ikienda kwa fundi kurekebishwa akikuomba no ya siri hutoi
Msiwe mnawaza Mawazo mabaya tu kumbukeni na Mazuri yapo

Shubaaa Miti..,,,,,,
 
Back
Top Bottom