PC yangu kila mara inaniandikia window activate, nifanyeje?

PC yangu kila mara inaniandikia window activate, nifanyeje?

Pia delete na ma file ya kwenye recycle bin maana yanamaliza nafasi ya kwelnye local disk C
 
Pc yako ina partition mgapi? (namaanisha kama una local disk C, D au ipo C peke yake?)
 
Back
Top Bottom