Google pixel 4a kila mwenye nayo kipindi hiki zinaua betri. Huu ugonjwa ni kama umezilipukia simu za Google pixel 4a
Kuuza ni ngumu
Na wauzaji wa simu ukiwapelekea kufanya top up wanagoma...
Naomba mnielewe hapa sizungumzii Samsung flagships kama s24, s24 ultra no. Mostly "A" series.
Zifuatazo ni sababu kwanini siwezi kutumia samsung mid rangers.
1. Design mbovu: hawa jamaa ubunifu...
Nimeona watu wengi wanalalamika juu ya simu used from Dubai hususan Google Pixel na Aquos kupata moto
Zimekua na tabia ya kupata moto hovyo sana, yaani inapata moto kidogo tu mpaka inagoma...
๐๐๐๐ 4 ๐๐๐๐๐๐ ๐๐ฟ๐๐๐ ๐๐ผ ๐๐๐๐๐๐๐ผ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ฟ๐ผ ๐๐ผ๐๐ ๐๐๐๐๐ฟ๐ผ ๐๐๐๐ 6, ๐๐๐๐๐๐๐พ๐๐๐๐๐ผ ๐๐ผ๐๐ผ๐๐ ๐๐๐๐๐ผ ๐๐ผ๐๐ผ
Muhimu; Kama una changamoto za kiuchumi ni vyema ukasome form 6 kwenye shule ya serikali...
๐ ๐ฎ๐๐๐ธ๐ถ๐ผ ๐บ๐ฎ๐ธ๐๐ฏ๐๐ฎ ๐๐ฎ ๐๐ป๐ด๐ฎ ๐๐ฎ๐๐ฎ๐๐ผ๐๐ผ๐ธ๐ฒ๐ฎ ๐ธ๐ฎ๐ฏ๐น๐ฎ ๐๐ฎ ๐บ๐๐ฎ๐ธ๐ฎ ๐ฎ๐ฌ๐ฐ๐ฌ ๐ฆ๐ถ๐ผ ๐บ๐ฐ๐ต๐ฒ๐๐ผ
Kabla hatujafikia mwaka 2040 kuna miaka 15 ndani yake kutatokea matukio ya Aiabu kwenye Sayari yetu ambayo mengi ni ya...
Habar wana I.T nawezaje kupata simuliz za ruhundwa zlzokamilika bla kutumia app yake iliyopo playstor,maana app ile kwang inagoma kunisajil,msaada wenu jaman kwa anaefahamu
Nimekuja kwenu wadau natafuta msaada Kuna shida imetokea wakati najaribu kuverify account kama vile wanavyotak nimejaribu kwa kitambulisho cha taifa nida, leseni, bank statement naona wanakataa...
Ndugu ,naomba mtu yeyote mwenye uelewa wa jinsi ya ku update simu ya android ,simu yangu ni Samsung s 21 ultra inatumia android version ya 13 sasa nataka niipeleke kwenye 14,maarifa yenu yanahitajika
Habari wakuu,
Naomba kujua jinsi ya kufanya channel hizi za WhatsApp iweze kuonekana kwenye search pale mfano WhatsApp mtu akiitafta jamiiforum inakuja.
Naomba kufahamishwa tafadhali, ni process...
Smart-glasses na Argumented Reality glasses zimeanza kitambo ila bado hazijafika "peak" ambayo mtu atatamani kununua.
Tokea enzi Google alileta Smart-glasses zake 2013 akawa anawauzia...
Habari, inaonekana simu yangu imekuwa ikituma hizi code for sometimes now hasa kupitia mtandao wa Yas, zinafanana na last day imetuma jana usiku muda huo nilikuwa far asleep, kwa yeyote alie na...
Ninahitaji custom Pc ikiwezekana ziwe za mtumba
Ninahitaji kichwa cha custom cpu, Monitor ipo ya kawaida.
Budget niliyonayo ni laki 8 hadi milioni 1
Matumizi ni ku edit video pamoja na kuchezea...
Habari wana jukwaa.
Nina Halotel Mobile Wifi Mfi_0428F2 ambayo nimeitumia vyema kwa kipindi cha miaka 2, ghafla tu imeanza kuleta shida kama ifuatavyo.
Ukiweka line na kuwasha, mara inakwambia...
Nimeandika uzi huu kuwasaidia watu ambao wanataka kucheza games kwenye pc na wanashindwa au hawana pc na wanatamani kuwa na pc waweze kucheza games hizi.
Mahala pa kununulia pc za kuchezea games...
๐๐ถ๐๐๐ผ๐ฟ๐ถ๐ฎ ๐๐ฎ ๐ธ๐๐๐๐บ๐ถ๐ฎ ๐ฃ๐ฒ๐๐ฎ ๐ญ๐ฎ ๐ก๐ผ๐๐ถ ๐ง๐ฎ๐ป๐๐ฎ๐ป๐ถ๐ฎ
Miaka imekwenda toka enzi hizo watu wanatumia shilingi moja, mbili, senti moja nk maisha ya Watanzania yalibadilika baada ya utambulisho wa Noti...
Habari zenu wakuu,
Nimekuja kwenu wadau naomba msaada wenu kwa wamiliki wa App huko play store nataka nijue App yenye download watu 10k na watumiaji active 10% malipo yake huwa kiasi gani kwa...
Wadau,
Ni brand gani ya headphone au earphone zina midundo yenye ubora wa hali ya juu kwa kusikilizia muziki au audio ambayo haichoshi masikio hata ukitumia kwa muda mrefu,yenye uwezo wa kuondoa...