Habari za sasa hivi ndugu zangu wana JF,
Nimekuja na Idea ambayo wengi wenu yaweza ikawa hamjawahi kuifikiria, lengo na madhumuni ni kupata kushauri kwenu nyinyi wadau,
Wazo langu ama idea...
kuna cm tecno W3 inarestart kabla haijaanza kuwaka, yaan ikileta tuu logo ya tecno inaandika Hios then ina restart na hivyo itaendelea hata ukiiacha mpaka kesho, nimeiflash kwa kutumia, miracle...
Kila nikitafuta mtu wa kunitengenezea app ya android
nakuta watu wanataka prsa ndeefu..
Zamani hata website ilikuwa pesa ndeefu siku hizi hadi bure
wapo wanaokutengenezea
Najiuliza why app hizi...
Chande Abdallah na Deogratius mongela
Katika hali ya kushangaza, mtu mmoja anayefahamika kwa jina la Ali, mkazi wa Mwananyamala jijini Dar, amekamatwa na polisi baada ya kudaiwa kuunganisha...
habari wadau
nina simu ya yangu ya htc desire ni yazamani kidogo ina android 2.2.2 sasa nilikuwa nahitaji niweze kuiupgrade kwenda android 3.3
Tatizo linakuja kila nikijaribu kuiconnect simu...
kama heading inavyojieleza niliibiwa simu aina ya I phone maeneo ya mbezi mwisho,mnamo tar 12/10/2017. Baada ya kuitafuta kwa mda nikashindwa sikutaka kwenda polisi japo ni muhim. Baada ya kukata...
Tafadhali rejea kichwa cha habari tajwa hapo juu, Ninaomba kama kuna mtu yeyote mwenye Program ya kueditia video iliyo full activated anipatie please.
For PC use only.
Samahani wakuu Mimi ni blogger sasa nilikua najaribu kuweka AdSense inayoitwa propeller ads hawa jamaa wanalipa hela nzuri tu lakini nimeshindwa kujiunga nao wananiambia ni verify website yangu...
Habari Wakuu! Naombeni Msaada Samsung S4 Yangu Inapata Fasta! Yaan Ndani Ya Dakika 4 Tu Baada Ya Kuchomeka Battery!
Nilinunua 2015, Sasa Juz Niliweka Chaji Kama Masaa 6. Kuamka Simu Ikawa Ya Moto...