Msaada wa APN za TTCL

Msaada wa APN za TTCL

Khalifavinnie

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2017
Posts
2,850
Reaction score
2,444
Wakuu naombeni msaada jinsi ya kufanya setting ya TTCL internet maana naona muda mwingi mnara hausomi kitu na net imekuwa nzito balaa.
 
07c62242ccbe8efc640a3a2ae23e1866.jpg
 
Nimejaza hivyo lakini internet imekua ya ovyo mkuu.
upo sehemu gani mkuu sio maeneo yote TTCL inafanya vizuri kwa mfano huku KONGOWE tigo inafanya vizuri zaidi kwa speed nzuri hivyo pengne eneo uliopo ndo seting haziusiani na speed
 
upo sehemu gani mkuu sio maeneo yote TTCL inafanya vizuri kwa mfano huku KONGOWE tigo inafanya vizuri zaidi kwa speed nzuri hivyo pengne eneo uliopo ndo seting haziusiani na speed
Niko mbeya mjini mitaa ya forest.
 
Niko mbeya mjini mitaa ya forest.
sijawahi kufika mkuu hapo forest sipajui hapo forest ni karibu na kule soko matola maana naishiaga hapo stand kuu nikipanda zaidi ndo huko soko matola Sijui juna guest nyingi nalalaga huko nikisubirigi ndinga ya Asubuhi SUMBAWANGA na kwingne kufika ni kule kwenye ofisi za PRECION AIR nilifika siku moja nilikuwa na shida ya haraka kuwai DAR na Mgonjwa
 
Chini ya soko matola ilipo benki kuu ya nyanda,za juu kusini.
 
Chini ya soko matola ilipo benki kuu ya nyanda,za juu kusini.
oooh kumbe ndo mitaa hiyo pengne network kaw TTCL haiko njema kwa mfano HALOTEL nikiwa MWANANYAMALA inazingua lkn MAJOHE GONGO LA MBOTO inafanya vizuri sana
mitaa hiyo VODA ndo yenyewe Tigo sijui jwa sasa ila kipindi nilichokuja kama mwaka sasa umepita Voda ndo ilikuwa ipo vizuri
TTCL mbeya sijawai kuitumia coz tangu nianze kutumia TTCL sijafika mbeya bado
 
Back
Top Bottom