Msaada: Modem yangu ya halotel inagoma kusoma line/simcard

Msaada: Modem yangu ya halotel inagoma kusoma line/simcard

Rdj Shibo

Member
Joined
Jan 5, 2018
Posts
81
Reaction score
53
Kama apo uzi unavyosema kuwa modem yangu ya Halotel inagoma kusoma Sim card Gafla sijui nifanye nini
Naomba msaada wana familia wa Forums
 
tumia tethering ya simu yako, modem ya nini?

sidhani kama bado una kitochi cha Itel
 
KWA SIMU KAKA KAMA UTAKUWA MAKIMNI INAUA BATTERY

Tethering inaua battery?

Kama ambavyo unatumia power kwenye modem ndio hivyo hivyo unatumia power kwenye simu. Sasa sijui wewe umefanya utafiti gani ukaonyesha simu inatumia zaidi energy kuliko stand alone modem.

Binafsi sioni faida ya kuwa na modem wakati simu inaweza kufanya kazi ya routing na modem.
 
hili tatizo hata mimi nimekutana nalo nimechakachua modem ya tigo now inatumia line zote, hapo mwanzo line ya halotel ilikuwa inasoma kama kawaida ila sasa imegoma kusoma na nimejaribu tricks zote aseeh
 
Back
Top Bottom