Msaada: Nisaidieni tafadhali laptop yangu nikiiwasha inaniandikia hivi

super mimi

JF-Expert Member
Oct 21, 2016
223
171
Wakuu nisaidieni tafadhali lap top yangu nikiiwasha inaniandikia hivi..

IMG_20180120_223948.jpg
 
Jaribu kuifungua sehemu inayokaa Harddrive yake uangalie kama imechomoka au uitoe alafu urudishe tena uiwashe ikileta ujumbe huo huo basi hapo ujue hiyo Harddisk imekufa nunua nyingine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom