Nilikua nafannya malipo ya game, sasa kutoka na uizi mtandaoni, wanakata kwanza pesa kidogo, kisha unatakiwa kuingiza hicho kiasi cha pesa kilichokata kuthibitisha kweli ndio mmiliki wa hiyo kadi...
Habari za wakati huu wana jukwaa la teknolojia,
Natumaini wote ni wazima.
Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye lengo la u-z-i.
Hivi kuna uwezekano wa kubadili logo za simu pale ikiwa...
Habar Za midaa Hii wana jamvii???
Huu ni uzi maalum kwa ajili ya tecno kama heading inavojieleza. Wengi wetu humu tunatumia tecno wereva.
Basi tushirikishane kwenye uzuri, ubovu na matatizo ya...
Leo kuna project (coding) nilikuwa naifanya, ilikuwa ni mabadiliko kwenye Next.js ili website iweze ku-display phonetic transcription.
Ni kazi ndogo tu ila kwasababu ilikuwa inahitaji changes...
Tiktok inatuwezesha tufahamiane. Inafununua uwezo wa binadamu bila mipaka, anadhihirisha na kubainisha uwezo halisi na kuchuja propaganda.
Injinia huyu ni kielelezo cha uwezo wa vijana wa...
Wataalam wadau wa jukwaa hili.
Sina mengi ya kueleza, ila kama kuna mdau anajua duka ninaloweza kupata Floppy disk drive naomba anielekeze, nipo DSM.
Asante sana kwa ushirikiano.
Good Morning my dear brothers and sisters out there.
(1) Kwanini mitandao ya simu (mfano Tigo Yas) wanatumia codes mbili yaani 0717****** pamoja na 0654******?? Kwanini ilishindikana kubaki na...
Software development ni jumla ya Juzi nyingi sana ukiachana na zile ndani ya Programming knowledge, Mtu anahitaji pia Tehama kiujumla na Mambo yake mengi na hata uwezo wa kusikiliza tatizo na...
SSD vs HDD: Tofauti Ambayo Watu 75% Hawaielewi – Na Inawagharimu Sana
Katika dunia ya leo ya kidijitali, tunatumia laptop na kompyuta karibu kila siku. Lakini bado, asilimia kubwa ya watumiaji –...
Je, uhai lazima uwe na macho? Lazima utambe au uruke? Au unaweza kuwa kitu tulivu, kinachostawi gizani, kikienea polepole kwa mamia ya karne bila mtu yeyote kugundua? Katika simulizi ya ajabu ya...
Ramani za nyumba zilikuwa na chumba maalum cha computer
Chumba cha computer kilikuwa na meza kubwa, screen yenye chogo, speaker mbili, mouse yenye mpira ndani, cpu yenye kitufe kikubwa cha...
Kama mnavyojua sikuhizi kupata charger original ya uhakika ni shida sana. Charger nyingi madukani humu zinaandikwa fast charger ila ukienda kuitumia ni matatzo tupu.
Leo nitaelezea njia rahisi ya...
Meta's Llama 4: Benchmark Controversies and Performance Challenges
Audio: Meta's Llama 4_ Performance and Controversy
Meta's Llama 4 series of large language models has generated significant...
Habari zenu wadau. Nahitaji ram ddr2, 4GB kwa ajili ya laptop, HP 6930p. Kama upo mwanza ni vema zaidi, Ila hata maeneo mengine. Au kama unaweza kushauri karibu
Nimejaribu kukaa kupiga stories na hawa jamaa kwa kuuliza swali lile lile kwa kila mtu.
Chatgpt
Ana taarifa nyingi sana
Ana kiswahili kimenyooka sana
Ana kupa nafasi ya kutaka kujua zaidi...
Watengenezaji wa betri wa China Betavolt wamezindua BV100, betri ya nyuklia ya ukubwa wa sarafu inayoendeshwa na isotopu ya nikeli-63 yenye mionzi, yenye uwezo wa kudumu kwa miaka 50 bila chaji au...