Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari wakuu Logitech g29 bei yake inakaribia kua mara mbili ya hii pxn v10 maana kwenye box la logitech g29 kuna wheel na pedal tu ukitata kirungu inabidi uongeze kama 250k lakini pxn v10 ndani...
1 Reactions
3 Replies
304 Views
Wakuu Habari zenu? Kujifunza programming language wapi tunakwama kama taifa. Kuna kipindi na mimi niliamua kujaribu kujifunga ili nianze kutengeneza app ya android, Rafiki yangu akaniambia...
56 Reactions
126 Replies
16K Views
Njia 4 za Kuongeza Kasi ya Smart TV Yako Bila Kufanya Reset Katika ulimwengu wa sasa wa kidigitali, tunategemea Smart TV si tu kwa ajili ya kutazama runinga, bali pia kwa matumizi ya intaneti kama...
5 Reactions
5 Replies
1K Views
Tech inaenda kwa kasi sana Google wameleta code editor yao ila bado iko kwenye review Unaandika prompt chap then una host firebase ila sasa bado real programmer skills ni muhimu Unasema nin...
1 Reactions
0 Replies
206 Views
Wengi tumekua tukilalamika kuhusu Vifaa tunavyotumia vingi ni feki 😁, Tena ile feki pro max yani iliyopitiliza, Sasa utajuaje hii Airpods ni feki au original ? Makala hii ni yako πŸ‘‹ Ukiangalia...
4 Reactions
7 Replies
814 Views
Unatumia File Explorer katika Kompyuta yako? Basi Uko Nyuma Sana! Fikiria Mambo 7 Microsoft Wanayopaswa Kuboresha Haraka Kabla Hujaacha Kabisakabisa! Umewahi kukwama ukitafuta faili moja tu...
2 Reactions
1 Replies
387 Views
Wakuu habarini za sahizi,poleni na majukumu,waungwana naomba msaada wa hili jambo,mi ni mjasiria mali,niko istagram ila sina uzoefu sana,nilifanya malipo ya matangazo na meta mara kaza,kuna deni...
0 Reactions
7 Replies
444 Views
Je, Laptop Yenye Intel Core i7 ni Bora Kuliko i3 na i5? Hii Ndio Ukweli! Watu wengi wanapohitaji kununua laptop mpya hujiuliza: Je, Intel Core i7 ni bora zaidi kuliko i3 na i5? ➠Jibu fupi ni...
20 Reactions
28 Replies
2K Views
Naomba msaada jinsi ninavyoweza tengeneza bio gas digest ndogo nyumbani, nataka tengeneza kwa kutumia tank ya lita 100 kwa kutumia malighafi(materials) ninayoweza kupata kwa urahisi ni garama...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Natafuta kampuni inayotoa huduma ya kuconnect internet ambayo inafanya nje kidogo ya mji, ttcl imeshindikana
0 Reactions
2 Replies
345 Views
Wataalam Wakuu. Natumia browser ya Google chrome, ila napata ugumu Kudownload video za YouTube. Nipetumia extension kadhaa ila hazifanyi kazi. Je, kwa sasa ni hipi browser mzuri mbadala wa...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Naomba msaada wenu njia za kufuataa ilo kujua simu feki na original.
0 Reactions
4 Replies
15K Views
𝗦𝗛𝗒π—₯𝗧𝗖𝗨𝗧 π— π—¨π—›π—œπ— π—¨ π—žπ—ͺπ—˜π—‘π—¬π—˜ π—žπ—’π— π—£π—¬π—¨π—§π—” π—¬π—”π—žπ—’ Leo nakuletea maujanja muhimu kwenye kompyuta yako ambayo wengi walikua hawayajui, najua unatumia kompyuta kwenye kufanya shughuli mbalimbali lakini Kuna...
1 Reactions
5 Replies
857 Views
Mtu yoyote mwenye idea ya jinsi ya kupata link za tv channels kwenye iptv apps au ambae anauza link ya hizo channel anicheki pm πŸ™
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Hasa kwa complex project Mda sasa nimekua nikitumia python kama primary PL Moja ya sida kubwa sana ni speed, aise python ni tabu sana Leo nimeanza kufanya project ambayo natumia python na cpp...
4 Reactions
14 Replies
868 Views
Nashindwa kupakua kwenye google naombeni mwenye nazo anisaidie.. With regard...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza nikwamba kama unatumia smartphone basi utakuwa na Watsapp application katika hiyo simu yako, basi na katika hiyo whatsapp ytako kuna akili mnemba (AI)...
27 Reactions
85 Replies
5K Views
https://www.youtube.com/watch?v=xRPjKQtRXR8
2 Reactions
4 Replies
442 Views
Je kuna app ambayo naweza kuitumia ku edit document kwenye whatsap?
2 Reactions
3 Replies
314 Views
Hatua kwa hatua, kama tunajenga kitu kutoka chini kabisa hadi kufikia programu tunazotumia kwenye simu au kompyuta zetu. Ikiwa ni rahisi kwako kupitia video unaweza tazama video hii fupi...
6 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…