Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Tanzania salama tuachane nazo tuu. Wana jf naomba kuuliza nani anazifahamu vizuri au ameshawahi kuzitumia hizi tv za kichina za GSDA, uzuri wake na ujinga wake?
0 Reactions
4 Replies
667 Views
Kuna mdau aliwahi kuandika tablet ya google ya bei rahisi google nexus 7 sio vibaya tuka update zaidi kwa kuongezea tablet 2 nzuri zaidi kwa urahisi kuliko google nexus. amazon kindle fire Bei...
2 Reactions
11 Replies
5K Views
naomba kujua bei ya had disk telabite 4 wakuu, samahani kwa usumbufu asubui hii na vip risk ya kununua hizi disk ubovu sijui expire time
1 Reactions
11 Replies
816 Views
Naandika kwa uchungu sana. Nilipewa instructions ya kutafuta kampuni ya IT hapa Tz kudisign app na web kwa ajili ya masuala fulani fulani. Nikawacheck jamaa fulani ni IT wazuri tu (kwa mjibu wao...
70 Reactions
326 Replies
29K Views
Apps almost zote,si google,outlook kila nikizi lonchi inajibu kuwa unfortunately zimestop,wataalamu nishaurini nifanyeje kusolve hii shida
1 Reactions
0 Replies
185 Views
Ukweli ni kwamba kila kifaa cha kieletroniki uonyesha dalili kabla ya kuharibika kwake, lakini watu wengi wamekuwa wakipuuza dalili hizo. hatimaye kifaa uweza kufa bila kujua kuwa kifaa icho...
1 Reactions
2 Replies
656 Views
habari ya kazi wadau. samahani jana kuna mdau mmoja aliweka flash yake kwenye pc yangu kuhamisha muvi. sasa alipotoa tu mafaili yote yakawa hayafunguki. mfano nyimbo zote zikawa haziplay, word...
0 Reactions
3 Replies
364 Views
Katika dunia ya kidijitali ya leo, kila mtu ana nafasi ya kusikika. Ikiwa una mawazo mazuri, habari, elimu au kipaji cha kipekee – blog inaweza kuwa njia bora ya kufikisha ujumbe wako kwa...
1 Reactions
1 Replies
321 Views
Wakuu nimeletewa zawadi ya Iphone sasa natafuta pa kuweka delivery report sipaoni hata Kuset zile call forwding kama Unreachable au Busy call iwe forwaded pengine sipaoni pia msaada please
2 Reactions
10 Replies
893 Views
Yeah hujakosea tittle. Samsung leo wamezindua Galaxy S25 EDGE ikiwa ni miezi mitatu tokea Galaxy S25 ya kawaida izinduliwe. Hii Edge ni Special Edition ili ije kupambana na iPhone 17 Air...
14 Reactions
56 Replies
3K Views
Nianze na Pale Mjini YouTube Uki search " Jinsi ya kutengeneza Software " saaana inakuja Youtube Channel Ya NK -- NK- Computer Training,, kwa wingi sana, na Uki Muuliza ROBOT yoyote au wengine...
1 Reactions
0 Replies
328 Views
Katika ulimwengu wa leo wa kidijitali, kuwa na tovuti au blog si anasa tena — ni hitaji. Na unapofikiria kuanzisha tovuti, jina moja linalojitokeza mara kwa mara ni WordPress. Lakini WordPress ni...
1 Reactions
1 Replies
333 Views
Guys nisaidieni kujua maana ya teknolojia
0 Reactions
0 Replies
371 Views
Wadau ..kwema bado kumekua na mijadala mingi sana kuhusu Programmers au developers wa Kibongo lakini nitaelezea hapa matatizo kulingana na uzoefu wangu nitaelezea Sababu tatu tuu...
1 Reactions
1 Replies
426 Views
Tofauti Kati ya .tz na .co.tz Domain: Ulinganisho na Uchambuzi Tanzania ina mfumo wake wa domain inayosimamiwa na Tanzania Network Information Centre (tzNIC). Kupitia mfumo huu, biashara na...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimetumiwa link ambayo ni video clip sasa nataka ni download iingie kwenye simu kama video zingine nafanyaje wadau https://youtube.com/clip/Ugkx_ViWoPek1CWrvf5neyJnxVdvI-ySK50H?si=6m-ykzOiXRW6R2MO
0 Reactions
5 Replies
374 Views
PART 2 EP01 Tuijue Laptop Na Tuifungue Kisha Tuifunge. Wasalaam Wanandugu: Tumekutana Tena Katika Darasa Letu Huru La Laptop Repair, Na Part 2 Hii Tutakuwa...
23 Reactions
74 Replies
14K Views
Habari! DVD yangu moja imegoma kusoma/haisomi. Nifanye nini kuisoma tena?
0 Reactions
2 Replies
265 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…