Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Salaam! Kama heading inavyojieleza, Natumia Camon CX Air, kwasasa ni Mwezi sasa, Kila nikitaka Ku Update WhatsApp Messenger, kwenye Update pale nibofya inaniandikia 'Download Pending' na Data...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Hello Naomba kujua mrejesho kwa waliotumia au walionunua tecno spark 3 Maana kuna sehem nimesoma kuhusu spark 3 kuwa ile ya kawaida kwenye internet inasoma 3g na edge kwa pamoja haina option ya 3g...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Salaaam Kama mada inavyojieleza,Nina simu hapa ya kitambo kidogo ,ni Tecno C8 Tatizo lililopo ni kukata sana network yani zile signal za network inakua chini sana 3G nayo sometimes ni...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kesho nitakuja kuwaelekeza vizuri wote mnaohangaika kuroot simu zenu zenye android 6.x + maana ndizo zinasumbua sana.. Sent using Jamii Forums mobile app [emoji124] Ciao..!!
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Husika na kichwa cha habari.desktop yangu ukiweka games au moving inajizima na kujiwasha tafadhali msahada kwa anaejua
0 Reactions
13 Replies
1K Views
ambaye anayo anicheki tuzungumze... nicheki kupitia 0745664634
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wakuu, kama kuna mtu mwenye huelewa kuhusu jinsi ya kupata channel za TSTV Africa msaada tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari nipeni ufumbuzi katika hili .natumia tecno c9.kuna tatizo limejitokeza LA kupoteza network ukiweka lain inaandika no service or emergency... Nkienda baaz ya sehem lain inasoma ...nmejaribu...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kati ya Browser nayo penda kuitumia kwenye web programming ni hii opera mini kama wiki mbili opera walituma update kama kawaida nika update sasa tokea juzi juzi hapa kuna project ya ruby...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Inakua kama hivi, sijawahi kubadili settings ila kuna softwares nilidownload mtandaoni. Naombeni msaada. UPDATE : nimefanikiwa kurekebisha.
0 Reactions
1 Replies
679 Views
Habari zenu wapendwa katika bwana, natumaini mu wazima kabisa wa afya na kwa wale wagonjwa na wanaouguza tumuombe Mungu atupe nguvu za kuweza kukabiliana na mitihani mizito mizito ya dunia hii...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari Wakuu, Jana Mtoto Aliangusha Pc yangu, baada ya Kuiwasha inaniambia hivi. Je nifanyaje?
0 Reactions
5 Replies
757 Views
Ase Simu yangu ya tecno y3+ nikiiwasha inaganda tuu yaani inaniandikia tecno tu hivi hapa tatizo nini msaada tafadhali wakuu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajamvi niko tanga nimepoteza smart yangu kwa anayefahamu application ya ku track simu kujua location anisaidie au namna yoyote ya jinsi ya kujua phone location msaada wa haraka unahitajika...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Kwa wale wanaofanya blogging tunaomba tupeane maujanja ya kuongeza mapato kwenye blog zetu wadau Karibun wadau
1 Reactions
9 Replies
2K Views
habari wana jf ningependa kufaham kampuni iliyohusika na kudevelope aplication ya tala .mwenye ufahamu anijuze tafadhali
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Wakuu nawapa heshima iliyotukuka kabisa. Binafsi naelewa sana mchango wenu kwenye huu ulimwengu japo bongo inaonekana mnasinzia sana. Swali la leo. 1. Chuo gani bongo kinafundisha Artificial...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Tecno Camon X Pro CA8 Frp Reset DA File For Infinity CM2, Inferno Dongle, NCK Box And Miracle Box AND cracks TECNO CAMON X Pro CA8 READ INFO DONE : For Infinity CM2 TECNO CAMON X Pro CA8 FRP...
0 Reactions
29 Replies
13K Views
Habari zenu wadau; naombeni kioo cha mac book pro 2013 (complete ) Nipo Arusha 0718007723 Whatsaap 0689152327 Calls Ahsanteni. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…