Msaada: Simu yangu C8 inakata/poteza sana network

Msaada: Simu yangu C8 inakata/poteza sana network

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,729
Reaction score
8,803
Salaaam

Kama mada inavyojieleza,Nina simu hapa ya kitambo kidogo ,ni Tecno C8

Tatizo lililopo ni kukata sana network yani zile signal za network inakua chini sana

3G nayo sometimes ni changamoto sana

Je hili ni tatizo la system ya simu au tatizo linaweza kuwa service provider wenyewe? Natumia Tigo na Halotel na sometimes naweka line ya Voda .
 
Techno sio?

Kawaida yake hio mkuu,expire date ndo inakaribia hivyo.
 
Tecno ndio mambo yake hayo.

Bado haijaanza kuahirisha shughuli unazofanya,mfano unachart inakata ghafla na kukurudisha home screen.
 
Tatizo ni network wire nenda kwa fundi abadilishe. Au achomeke vizuri
Mkuu simu yangu nayo inatatizo nikiwasha 3g inaandika no service lakini ikiwa kwenye 2g minara inasoma Kama kawaida msaada tafadhali

Smart guy
 
Back
Top Bottom