Nahitaji Adsense Account Mpya(non hosted)

Heri lee

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
981
528
Habari zenu wapendwa katika bwana, natumaini mu wazima kabisa wa afya na kwa wale wagonjwa na wanaouguza tumuombe Mungu atupe nguvu za kuweza kukabiliana na mitihani mizito mizito ya dunia hii iliyojaaa shida/tabu na neema nyingi. Vile vile tumshukuru Mungu kuzaliwa kwenye nchi yenye amani kama Tanzania chini ya utawala wa John Pombe Magufuli akishikilia usukani wa Taifa hili pendwa la dunia ya tatu. Kama kichwa kisemavyo hapo juu nahitaji Non-hosted Adsense Account Mpya, mwenye nayo aje P.M. Nawatakia kila la kheri wana Jf WOTE na ndugu zenu wote, Watanzania, Waafrica na DUNIA kwa Ujumla. AMINA.
 
kuwa makini sana kama wewe ni mgeni, matapeli wengi sana
Thanks kiongozi kwa kunifungua macho, nimekutana na matapeli zaidi ya sita wote nimefanikiwa kuwadhibiti vilivyo. Mpaka sasa sijapata account(non hosted account) naishia kukutana na matapeli sugu. Mbarikiwe wapendwa katika bwana.
 
Back
Top Bottom