zakayoyoung Senior Member Apr 9, 2019 140 38 Jun 1, 2019 #1 Ase Simu yangu ya tecno y3+ nikiiwasha inaganda tuu yaani inaniandikia tecno tu hivi hapa tatizo nini msaada tafadhali wakuu
Ase Simu yangu ya tecno y3+ nikiiwasha inaganda tuu yaani inaniandikia tecno tu hivi hapa tatizo nini msaada tafadhali wakuu