Msahada tafadhali desktop inajizima na kujiwasha

Msahada tafadhali desktop inajizima na kujiwasha

feelsam

Member
Joined
Jan 13, 2017
Posts
92
Reaction score
36
Husika na kichwa cha habari.desktop yangu ukiweka games au moving inajizima na kujiwasha tafadhali msahada kwa anaejua
 
Why 20GB
Haioneshi rangi nyekundu? Kwenye My computer pale hard disk zinapoonekana?


RAM ngapi?
Processor ngapi?
HDD ina ngapi jumla?

Je graphic card iko poa?
Ram 3.5 gb processor core 2 duose 1.88_1.89
 
Back
Top Bottom