Habari za wakat huu wakuu kama mada inavojielea.. Mimi nina tukio linalohitaji kuwatumia sms wengi sms mara kwa mara kwa iyo naomba kujua ni namna gani naweza kutuma sms ya kawaida kwa watu wengi...
Ninatumia simu ya samsung
Sijui imepatwa na kifafa hii simu yaani kila siku kuanzia saa 3-5 asubuhi inakuwa inazima then inawaka inazima inawaka
Itachukua hata lisaa kuzima na kuwaka tu then...
Shule ya serikali maalum kwa kuandaa ma IT wadogo
Kwanza kabisa niwapongeza Rwanda kwa juhudi wanazofanya kuhakikisha wanawaza kupiga msamba na sio kupiga hatua katika ishu ya maendeleo.
Hua...
Naombeni anayejua namna ya kuweka zile backgroun text kwenye publisher anielekeze mfano vyeti vya necta vinavyokuaga kunakua na maneno yanaonekana kwa chini madogo cheti kizima
Ningependa leo kushea kitu kuhusu hizi codes ambazo zimekuwa zikitumika tangu enzi hizo hadi hivi sasa zinatumika katika jamii yetu hasa katika swala zima kiintelijinsia code hizi zimekuwa na...
Habari wadau,
Kuna wazo ninalo hapa, naomba kujua kama ni hitaji, au nafikiri tu...
Ukiwa na biashara yako, iwe mgahawa au genge au chochote kile. Kila wateja wanapokuja, unawahudumia. Mwisho wa...
NATARAJI KWENDA SEHEMU AMBAYO KISIMBUSI KINACHOTUMIA ANTENA HAKISHIKI NETWORK......
NAULIZA HIKI KISIMBUSI KINAWEZA KUTUMIA DISH..... nilienda kwa fundi dish wa kwanza kasema kinaweza na yeye...
Wadau habari, kama kichwa cha habari kinavyosomeka ninaomba maelekezo namna ya kuroot tecno spark k7 kwakutumia simu yenyewe bila pc kama inawezekana,asanteni.
Wadau naomba kuuliza vitu gani vinaitajika ili niweze kupata namba ya kampuni na kumbukumbu namba za malipo kutoka katika huduma za kifedha za mitandao ya simu za mkononi mfano M PESA, TIGO PESA...
Habari wakuu,nilikuwa naomba msaada kwa wajuzi wa hili game uwezekano wa kulicheza kwa kutumia simu yangu nmeangalia youtube wakielekeza lakin source zake nikifata zinagoma kudownload msaada kwa...